Dah! Umependeza!

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,078
2,443
Yeah - Haya maneno huwa nayasikia sana maofisini asubuhi hadi makanisani Jumapili na Jumamosi pia - Dah! Umependeza!" Si mpenzi sana wa kuyatumia maneno haya, japo siku moja moja huwa na m-surprise my wife.

Je pale Rose anabomwambia Peter (wanafanya kazi sehemu moja hawa) kuwa "Dah! Umependeza leo" and vice versa - hamna hali ya kutamaniana kimahaba katika watu hawa wawili?
 
Ni kawaida tu.

Wazazi wanaweza kuwaambia watoto wao.."mmepandeza"..hakuna mbaya!
Mwajiri pia anaweza kumwambia mfanyakazi wake hivyo, si kwa nia ya kumtamani!

Kwa watu wenye hisia za mapenzi, kuambiana hivyo kunaweza kuzidisha moto wa mapenzi miongoni mwao, na hapo pia hakuna mbaya yoyote!
 
hakuna, ingekuwa hivi unavyowaza ingekuwa balaa
 
mahaba MAHABATI!yanaweza kuwepo.i mean hii kitu ni lazima tuwe wazi tu kwakweli....!yupo msomi mmoja wa siku nyingi aliwahi kuthibitisha kwamba
A HUMAN BRAIN IS SEX MINDED!......
 
Ni kawaida tu.

Wazazi wanaweza kuwaambia watoto wao.."mmepandeza"..hakuna mbaya!
Mwajiri pia anaweza kumwambia mfanyakazi wake hivyo, si kwa nia ya kumtamani!

Kwa watu wenye hisia za mapenzi, kuambiana hivyo kunaweza kuzidisha moto wa mapenzi miongoni mwao, na hapo pia hakuna mbaya yoyote!

Very well said...Sina cha kuongeza! Unatumia kinywaji gani PJ? Maana leo Ijumaa, mtu akimwaga ponti, tunaongeza bajeti ya kinywaji!
 
mahaba MAHABATI!yanaweza kuwepo.i mean hii kitu ni lazima tuwe wazi tu kwakweli....!yupo msomi mmoja wa siku nyingi aliwahi kuthibitisha kwamba
A HUMAN BRAIN IS SEX MINDED!......

Hapo kwenye red nadhani pangesomeka a A MALE BRAIN IS SEX MINDED!
 
Yeah - Haya maneno huwa nayasikia sana maofisini asubuhi hadi makanisani Jumapili na Jumamosi pia - Dah! Umependeza!" Si mpenzi sana wa kuyatumia maneno haya, japo siku moja moja huwa na m-surprise my wife.

Je pale Rose anabomwambia Peter (wanafanya kazi sehemu moja hawa) kuwa "Dah! Umependeza leo" and vice versa - hamna hali ya kutamaniana kimahaba katika watu hawa wawili?
We ukimwambia mfanyakazi/jirani/mwanafunzi mwenzako wa kike vipi kunakuwaga na hali ya kutamaniana au?Jifikirie alafu jibu jipe mwenyewe!!
 
Masaki na mayenga mmeishawishi kubadilisha msimamo wangu kwenye signature yangu, watu wazuri sana nyie, ndio kujifunza, ngoja niache ushamba
 
Hapo kwenye red nadhani pangesomeka a A MALE BRAIN IS SEX MINDED!
mpwaaz,
mimi nakuthibitishia ni HUMAN-BRAIN
sisi wenye watoto tunajua,kwasababu tumethibitisha kwamba:
-MTOTO WA KIKE(kablwa hajapevuka) anampenda zaidi baba yake mzazi kuliko mama

-MTOTO WA KIUME ni the opposite case.

amini usiamini,chanzo pale ni utofauti wa jinsia
 
Inawezekana! Ila baada ya kupevuka, wanaume tunakuwa na akili za kingono ngono zaidi kuliko wanawake!
 
wanawake wamezidi sasa kwa akili za ki-ngongo ngono!asilimia 80 ya ubongo wa wanawake KATIKA UMRI FULANI wanawaza mapenzi.na wanatumia muda mwingi sana kujadili ngono.mimi ni mwalimu wa sekondari ya wasichana huku lupembe-manyunyu girls NAYAJUA HAYA
 
Very well said...Sina cha kuongeza! Unatumia kinywaji gani PJ? Maana leo Ijumaa, mtu akimwaga ponti, tunaongeza bajeti ya kinywaji!
Aksante Mkuu Masaki.
Mlta Guiness iliyopoozwa sana!
Au unaogopa ntaleta nzi kwenye meza yako mkuu!..sidhani!
 
Karibu sana, nzi hawaletwi na aina ya kinywaji, wanaletwa na uchafu na sitegemei kunywa kinywaji mahali pachafu mkuu!
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa si vizuri hasa kwa mtoto wa kiume kumsifu mama yake kuwa eti amependeza, hoja yake ilikuwa ni kwamba utakuwa umeshamthaminisha maza juu-chini-mbele-nyuma kitu ambacho si kizuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom