Dah! Tanzania inaliwa na kutafunwa bila huruma, halafu Wabongo wenyewe wanaajiachia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,744
48,385
Nimekua nafuatilia taarifa za hivi majuzi kuhusu kukamatwa kwa dhahabu yenye thamani ya sh bilioni 30, na kwamba watuhumiwa walikua na pesa taslimu milioni 300 za kuhonga, nikawa najiuliza kama tunavyofahamu kwamba mwizi siku zake ni arubaini, ina maana hawa huu ndio mchezo hucheza siku zote hadi wakaja kushtukiwa na kukamatwa, na hapo utakuta labda wamekamatwa baada ya baadhi ya mapolisi kutohusishwa kwenye chao cha juu, bure ngoma ingepita tu.
Ni dhahiri Tanzania inaliwa sana, watu hawana huruma, kazi kutafuna hilo shamba bila kupepesa macho na kuwaacha watu wake waishi maisha ya umaskini wa kutia huruma, halafu kunao Watanzania wachache ambao wanajitajirisha kwenye hii michezo na kutupa uzalendo mbali, hiyo nchi imejaa utajiri lakini tamaa hatari sana, hamna tofauti na kule kwa Bakongoman...
------------------------------------

NDREW MSECHU na AGATHA CHARLES -DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli amesimulia namna polisi wanane walivyoshiriki mchezo mchafu wa kukamata watuhumiwa watatu waliokuwa wanasafirisha kilo 300 za dhahabu. Dhahabu hiyo yenye thamani ya Sh bilioni 30 ilikamatwa Januari 4, mwaka huu jijini Mwanza ikisafirishwa kwenda wilayani Sengerema, huku watuhumiwa wakiwa na Sh milioni 305 zinazodaiwa kuwa zilikuwa ni kwa ajili ya kuhonga. Akizungumza wakati wa kuwaapisha mawaziri, makatibu wakuu na viongozi wa Tume ya Utumishi wa Umma, Ikulu, Dar es Salaam jana, Rais Magufuli alisema baada ya kupata taarifa...

read more...

Share|

Published By: Mtanzania - Yesterday

JPM asimulia sinema polisi wa dhahabu | Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
 
kuna vichekesho nchi hii,Tanzania ndiyo nchi ya nne kwa dhahabu duniani but inachangia just 4 percent.ila chaajabu mwizi akikamatwa kuna kundi la watu wanamtetea.nchi ina watu wengi hawajitambui kabisa
 
Na ile haijashikwa je? Inawezekana kuna wakubwa fulani hawakulambishwa wakaamua kufa dereva kufa makanga. Shamba la bibi.
 
Nimekua nafuatilia taarifa za hivi majuzi kuhusu kukamatwa kwa dhahabu yenye thamani ya sh bilioni 30, na kwamba watuhumiwa walikua na pesa taslimu milioni 300 za kuhonga, nikawa najiuliza kama tunavyofahamu kwamba mwizi siku zake ni arubaini, ina maana hawa huu ndio mchezo hucheza siku zote hadi wakaja kushtukiwa na kukamatwa, na hapo utakuta labda wamekamatwa baada ya baadhi ya mapolisi kutohusishwa kwenye chao cha juu, bure ngoma ingepita tu.
Ni dhahiri Tanzania inaliwa sana, watu hawana huruma, kazi kutafuna hilo shamba bila kupepesa macho na kuwaacha watu wake waishi maisha ya umaskini wa kutia huruma, halafu kunao Watanzania wachache ambao wanajitajirisha kwenye hii michezo na kutupa uzalendo mbali, hiyo nchi imejaa utajiri lakini tamaa hatari sana, hamna tofauti na kule kwa Bakongoman...
------------------------------------

NDREW MSECHU na AGATHA CHARLES -DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli amesimulia namna polisi wanane walivyoshiriki mchezo mchafu wa kukamata watuhumiwa watatu waliokuwa wanasafirisha kilo 300 za dhahabu. Dhahabu hiyo yenye thamani ya Sh bilioni 30 ilikamatwa Januari 4, mwaka huu jijini Mwanza ikisafirishwa kwenda wilayani Sengerema, huku watuhumiwa wakiwa na Sh milioni 305 zinazodaiwa kuwa zilikuwa ni kwa ajili ya kuhonga. Akizungumza wakati wa kuwaapisha mawaziri, makatibu wakuu na viongozi wa Tume ya Utumishi wa Umma, Ikulu, Dar es Salaam jana, Rais Magufuli alisema baada ya kupata taarifa...

read more...

Share|

Published By: Mtanzania - Yesterday

JPM asimulia sinema polisi wa dhahabu | Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Hapa kama kuna sarakasi mkuu....Naona kama Picha la Kihindi hivi.
 
Ulifuatilia kwa umakini hii issue utajua namna gani Tanzania ina active secret service, kwa namna hii issue ilivyoshughulikiwa hata vyombo vya usalama na viongozi wengine serikalini wameshtushwa na umakini wa secret service ya Tanzania, wote hawakuamini JPM ndio anainua simu ya ikulu na kuwapa maelekezo kwamba kuna mchezo mchafu unafanyika, just do this do that.

Viva JPM
Vivaa TISS
 
mchizi wangu alikamatwa na kontena la samaki wa china mbeya akawa anauhakika wa kutoka du kala 15 na akitoka ana deni.watu wasiojulikana walikuja kuweka faili vizuri wakamaliza wakaondoka
 
we ujui magendo nchi imeliea sana sema ina rasilimali nyingi

Yaani kama wanakwapua dhahabu nyingi hivyo kwa mpigo mmoja, halafu inaonekana ni mchezo wameucheza sana kwa muda mrefu, hiyo nchi kweli ina utajiri hata ikiibiwa vipi bado ipo tu.
 
Ulifuatilia kwa umakini hii issue utajua namna gani Tanzania ina active secret service, kwa namna hii issue ilivyoshughulikiwa hata vyombo vya usalama na viongozi wengine serikalini wameshtushwa na umakini wa secret service ya Tanzania, wote hawakuamini JPM ndio anainua simu ya ikulu na kuwapa maelekezo kwamba kuna mchezo mchafu unafanyika, just do this do that.

Viva JPM
Vivaa TISS
kama katiba ikiipa mamlaka zaid tiss nadhan tz itakuwa tishio kiuchumi ukanda huu

kuna jamaa aliwai kuniambia kuwa dstv walijua sakata la twiga toka watu wanapanga bei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wanapiga kazi nzuri sana tokea awali, tatizo huko nyuma walikua wanafanya kazi sana lakini hakuna maamuzi yoyote ya maana serikali inafanya juu ya hustle zao, wakawekwa zaidi kwenye kufanyia chama kuliko serikali, saivi ndio upele umepata mkunaji sababu kazi wanapiga balaa na serikali inawasikiliza kuliko maelezo.

Sakata la Acacia na Barrick walipiga kazi mpaka wazungu wanaoneshwa nyendo zao zote za makinikia hawaamini macho yao.
 
Nimekua nafuatilia taarifa za hivi majuzi kuhusu kukamatwa kwa dhahabu yenye thamani ya sh bilioni 30, na kwamba watuhumiwa walikua na pesa taslimu milioni 300 za kuhonga, nikawa najiuliza kama tunavyofahamu kwamba mwizi siku zake ni arubaini, ina maana hawa huu ndio mchezo hucheza siku zote hadi wakaja kushtukiwa na kukamatwa, na hapo utakuta labda wamekamatwa baada ya baadhi ya mapolisi kutohusishwa kwenye chao cha juu, bure ngoma ingepita tu.
Ni dhahiri Tanzania inaliwa sana, watu hawana huruma, kazi kutafuna hilo shamba bila kupepesa macho na kuwaacha watu wake waishi maisha ya umaskini wa kutia huruma, halafu kunao Watanzania wachache ambao wanajitajirisha kwenye hii michezo na kutupa uzalendo mbali, hiyo nchi imejaa utajiri lakini tamaa hatari sana, hamna tofauti na kule kwa Bakongoman...
------------------------------------

NDREW MSECHU na AGATHA CHARLES -DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli amesimulia namna polisi wanane walivyoshiriki mchezo mchafu wa kukamata watuhumiwa watatu waliokuwa wanasafirisha kilo 300 za dhahabu. Dhahabu hiyo yenye thamani ya Sh bilioni 30 ilikamatwa Januari 4, mwaka huu jijini Mwanza ikisafirishwa kwenda wilayani Sengerema, huku watuhumiwa wakiwa na Sh milioni 305 zinazodaiwa kuwa zilikuwa ni kwa ajili ya kuhonga. Akizungumza wakati wa kuwaapisha mawaziri, makatibu wakuu na viongozi wa Tume ya Utumishi wa Umma, Ikulu, Dar es Salaam jana, Rais Magufuli alisema baada ya kupata taarifa...

read more...

Share|

Published By: Mtanzania - Yesterday

JPM asimulia sinema polisi wa dhahabu | Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini

Ati Magufuli kasema? Huyu mtu ni wa kukurupuka tu.
 
Hawa jamaa wanapiga kazi nzuri sana tokea awali, tatizo huko nyuma walikua wanafanya kazi sana lakini hakuna maamuzi yoyote ya maana serikali inafanya juu ya hustle zao, wakawekwa zaidi kwenye kufanyia chama kuliko serikali, saivi ndio upele umepata mkunaji sababu kazi wanapiga balaa na serikali inawasikiliza kuliko maelezo.

Sakata la Acacia na Barrick walipiga kazi mpaka wazungu wanaoneshwa nyendo zao zote za makinikia hawaamini macho yao.
fact aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mchizi wangu alikamatwa na kontena la samaki wa china mbeya akawa anauhakika wa kutoka du kala 15 na akitoka ana deni.watu wasiojulikana walikuja kuweka faili vizuri wakamaliza wakaondoka
Hahaaaaa kumbe na wewe unamjua huyu mwamba???

Mara ya kwanza aliwachomesha vijana waliomdaka akabyanyua waya kwa wakuu ndo hii ya juzi wakaamua kumjazia vitengo vyote apige simu sasa
 
Back
Top Bottom