MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,757
- 48,403
Nimekua nafuatilia taarifa za hivi majuzi kuhusu kukamatwa kwa dhahabu yenye thamani ya sh bilioni 30, na kwamba watuhumiwa walikua na pesa taslimu milioni 300 za kuhonga, nikawa najiuliza kama tunavyofahamu kwamba mwizi siku zake ni arubaini, ina maana hawa huu ndio mchezo hucheza siku zote hadi wakaja kushtukiwa na kukamatwa, na hapo utakuta labda wamekamatwa baada ya baadhi ya mapolisi kutohusishwa kwenye chao cha juu, bure ngoma ingepita tu.
Ni dhahiri Tanzania inaliwa sana, watu hawana huruma, kazi kutafuna hilo shamba bila kupepesa macho na kuwaacha watu wake waishi maisha ya umaskini wa kutia huruma, halafu kunao Watanzania wachache ambao wanajitajirisha kwenye hii michezo na kutupa uzalendo mbali, hiyo nchi imejaa utajiri lakini tamaa hatari sana, hamna tofauti na kule kwa Bakongoman...
------------------------------------
NDREW MSECHU na AGATHA CHARLES -DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli amesimulia namna polisi wanane walivyoshiriki mchezo mchafu wa kukamata watuhumiwa watatu waliokuwa wanasafirisha kilo 300 za dhahabu. Dhahabu hiyo yenye thamani ya Sh bilioni 30 ilikamatwa Januari 4, mwaka huu jijini Mwanza ikisafirishwa kwenda wilayani Sengerema, huku watuhumiwa wakiwa na Sh milioni 305 zinazodaiwa kuwa zilikuwa ni kwa ajili ya kuhonga. Akizungumza wakati wa kuwaapisha mawaziri, makatibu wakuu na viongozi wa Tume ya Utumishi wa Umma, Ikulu, Dar es Salaam jana, Rais Magufuli alisema baada ya kupata taarifa...
read more...
Share|
Published By: Mtanzania - Yesterday
JPM asimulia sinema polisi wa dhahabu | Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini