Dah, Pole sana mbaba...

Hahahaaa. Umeonaeeee.

Waeza kuta kajiweka hivyo apigwe picha tu tu ili baada ya hapo airushe insta apate likes na followers lakini nje ya hapo hana hata chembe ya Uchungu.

Waigizaji si wa kuwaamini hata kidogo.

Yaaaaani kama ulikuwepo kwenye kichwa changu mawazo yako kama yangu mwaya. Acha tu.

Wengi wao wapo kwa show off tu hakuna cha zaidi isipokuwa kujionesha kwa watu tu kwa ajili ya maslahi yao binafsi my dear.

Acha tu mamitto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom