Dah!nataka mwelekeo sahihi nifike kwa wahaya mwananyamala karibu na hospital Ni upande upi wa hospital?

Hapo hosptali kuna open space kama wanapaki magari hivi kuna watu kidogo sasa we nenda Kya ndani kuna vichochoro vingi hapo utawakuta

Usisahahu kuleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom