Dah kumbe sikupiga hodi

Wakuletwa

Senior Member
Oct 31, 2010
134
9
Asalaam alykum! Nisameheni jamani niliingia bila hodi wakati wa uchaguzi. Sasa nawasabahi rasmi. Nimefarijika sana na JF kwani penye wengi pana mengi. Hodiiiiiiiiiiiii:target:
 
Dah napata kigugumizi kukukaribisha maana wewe tayari ni mwenyeji na unaijua mitaa ya humu ndani vizuri zaidi.
 
Asalaam alykum! Nisameheni jamani niliingia bila hodi wakati wa uchaguzi. Sasa nawasabahi rasmi. Nimefarijika sana na JF kwani penye wengi pana mengi. Hodiiiiiiiiiiiii:target:

Wakuletwa, naomba maelezo mafupi kutokana na jina lako kabla sijaanza kukuuliza maswali magumu kutokana na jina lako.

Karibu sana
 
Back
Top Bottom