Dah joh makini wa zamani alikiwa hatari aisee

Troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
19,858
38,462


Yaani kuna muda nikipitia nyimbo zake za zamani kama stimu zimelipiwa huwa naona kama watu wawili tofauti.

troublemaker 2019. all right reserved.
 
Jamaa alikuwa na mistari yenye ujumbe wa kufikirisha na yenye vina.

Siku hizi sijui anaimba nini.!
 
Back
Top Bottom