Dah jamaa ameamua kutoka kivingine(malaria sugu) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dah jamaa ameamua kutoka kivingine(malaria sugu)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckyperc, Aug 19, 2011.

 1. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wanajamvi kupita pita nikakutana na huyu jamaa ambaye analia kila siku kwa kupigwa BAN.

  Ametoka kivingine

  Malaria sugu wa Ukweli

  hapa ss analia!

  Ni Maamuzi binafsi.
  Nia ya mtandao huu mdogo ni kuwahabarisha , kubadilishana mawazo vijana na wazee wanaotumia Teknolojia hii ya habari.

  Hii ilinisukuma baada ya kubanawa na Kukosa fursa na watuamiji(User) wa mtandao wa jamiiforums.nasema mtandao wa jamiiforums hasa kutokana na mtandao huo kuwa ndio rafiki yangu mkuu
  Kwani nimekuwa nikibanwa sana (SIO KIHOJA) bali jazba wa baadhi ya user sio wote na sio Invisible wala Mod kwani hawa wanafanya kazi kwa uadilifu mkubwa kwa kipindi hichi . na nawapongeza kwa hilo bali ni wachache na hadi kufikia kuwa muhanga wa Kupigwa ban kila nikichomoza. tayari kwa sasa nipo kifungo cha ndani ya miezi 2.
  kwa kuwa binaadamu huwa mbunifu, nawakaribisha wote wanajamiiforums na wengine kunipa changamoto kupitia email yangu.


  KAMA ITAKUWA IMEJIRUDIA MIMI NAKIRI NI MVIVU WA KUSOMA!
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Duhu hata mimi nimeona
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Duhu, Malaria sugu!
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  duhu, kuna tangazo la watu kujiunga na JF hapo kwenye site yake. lkn pia kuna kijilawama kwa mod kuhus uhusiano wake na ms. kazi ipo
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Hii copy vipi hajaipeleka tena kule kwenye gazeti la Mwanahalisi?
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  mengi tutayasikia mwaka huu
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160

  sasa hivi amefungua forums. kazi kweli kweli jamaa huyu.
   
 8. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  duhu Malaria Sugu unaanzisha mada halafu duhu unajijibu mwenyewe, duhu aisee kazi unayo!!!
   
 9. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hebu tupeni link cha hicho ki web cha MS.
   
 10. P

  Pua Member

  #10
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duhu. hata FF naona kaungana nae katika kiforums cha ms.
  yaani ms sasa anaforums na site?
  sijui ni msaada wa ccm huo
   
 11. P

  Pua Member

  #11
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  angalia kwenye maelezo ya juu
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  duhu. kuna mjadala mkali kuhusu dk slaa na CDM katika kile kiforums cha ms. kweli CDM ni kiboko, wanamchachafya sana nnaye. sijui ndio yule wa ccm?
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Raisi wake Mtarajiwa ni Membe!
   
 14. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Even those who provide names do not use their real identities - so what is the difference between them and those referred to as Anonymous cowards? Have you used your real name here? Pelekeni huko huo upuuzi wenu, tuachieni kijiwe chetu.
   
 15. m

  mikogo Senior Member

  #15
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  bado sijaelewa kinachoendelea jamvini. tatizo ni nini naona watu wana hasira
   
Loading...