Dah! Hivi ni kwanini Wazungu wengi hawajali kuwaka/ kutupia?

Ernst kipire

Senior Member
Dec 16, 2019
199
250
Waafrica na watu weusi kwa ujumla ni washamba sana, eti unawaita wazungu hawajali kuvaa, ili ajali kuvaa awe vipi? unajua thamani ya hicho kiatu unachokitolea mfano?
Well said bro...

Kun people znaushamba au niseme utumwa wa kifikra juu ya mzungu

Usilo lijua,hakun watu ambao wapo smart na wanaotupia kam wazungu,ni mara chache sana kumuona mzungu akiwa rafu au kavaa moshi kam hii yetu

Guys acheni kujidharau na ndio maana tunadharaurik san na wazungu...
 
nyongolwe

JF-Expert Member
May 25, 2020
639
1,000

Nadhani tunaowaona huku kwetu huvaa kutokana mazingira,mzungu hawezi ulambia akiwa k/koo,manthari ya miji yetu inachefua.
 
Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
1,551
2,000
Wazungu ni kam sisi tu,wao pia wanapanga kuwaka kam kawaida,nioneshe mzungu ambaye yupo rafu muda wote,usidanganywe wao wanavaa san ten san.

Hiyo picha hapo ya huyo boss isikuchanganye,hpo alikuw zake home amechill
Sasa Wabongo wengi mpaka home wanawaka, halafu kingine huyu ni kawaida yake kuvaa kawaida/rough, tajiri anavaa t shirt tena ya aina moja, na suti basi anavaa pair zisizozidi 2 tu, kubali kataa hawa jamaa wanavaa kawaida mno, hawana vikolombwezo vingi kama sisi. Unaoongelea wewe kuwa wanavaa vizuri ni wale wazungu wasanii, fashionists na watu wa burudani ambao kwao ni lazima wavae wawake, ila hawa wengine si vijana si wazee wanavaa very simple. Huo ndio ukweli!
 
frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
526
1,000
Swala la kuvaa na kuwaka ni tabia binafsi, kama tabia ya kupendeza unayo huwezi kuacha mbona matajiri wasafi wapo wengi tu tena zaid ya walio rough

Tofauti nzuri ni hvi Mtu alietajirika kwa kigezo cha IQ (Intelligence quotient )hawez kuwa smart hata sku moja na mtu alietajirka kwa kigezo cha SQ (social quotient) hawez kutokuwa smart

So UMASIKINI HAUPIMWI KWA KUTOKUWA SMART
 
RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
17,046
2,000
Unakuta mtu unamengi ya kufanya na kutafakari mpaka kuvaa huwa unasahau.
 
BRN

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
1,805
2,000
Kuvaa au kutupia kama ulivyosema kunaendana na tukio Mkuu..kwa mfano mtoa mada ungetuonyesha picha za matukio tofauti ya huyo tajiri hapo na kama angekuwa na hayo makatambuga ndio ungetoa hiyo kauli yako.
Hapo yuko kwenye mitambo sidhani kama angekuwa sahihi kuvaa suti,hebu mtafute akiwa kwenye kikao na ma CEO wenzia kama atakuwa hivyo.
Kimsingi wenzetu wanajua kuvaa kulingana na tukio..huwezi kumuona amekwenda kucheza golf akiwa na suti vipande vitatu.
Ahsante
 
desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,540

We ndo umeongea
 
  • Thanks
Reactions: BRN

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom