Wengi tunamjua kama babu wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo na rafiki yangu Nobert, sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo? Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji anadunda tu kitaa?