Dah! hivi kwanini mchungaji Ambikile Mwaisapile asishtakiwe?

zilongwa

Senior Member
Sep 3, 2013
186
195
Wengi tunamjua kama babu wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo na rafiki yangu Nobert, sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo? Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji anadunda tu kitaa?
 
Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
4,400
2,000
Wengi tunamjua kama babu
wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini
ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo
na rafiki yangu Nobert, sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo?
Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji anadunda tu
kitaa?

There is a danger when a man like you throws his tongue into high speed before he gets his brain a-going. NONSENSE!
 
Songoro

JF-Expert Member
May 27, 2009
4,125
0
Mtoto akililia wembe Mpe Kisu kabisa amalizie hasira zake. Aksante Serikal sikivu ya JK kumuacha
[h=2]Ambikile Mwaisapile kuvuna Tshs 500/= za wanaotumia Vichwa kufugia Mapunye![/h]
 
sad_eyes

Senior Member
Nov 30, 2013
149
0
Wengi tunamjua kama babu wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo na rafiki yangu Nobert, sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo? Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji anadunda tu kitaa?

Nenda kachukue ada kwa Kapuya.
 
zilongwa

Senior Member
Sep 3, 2013
186
195
walilazimishwa kunywa kikombe?
unaleta hoja za kipumbavu kabisa,unajua udini wewe?
hukujui mahakamani?kaua ndugu zako,nani akashitaki kama sio wewe?
kaseme msikitini kwenu.!msome albaadil.
Kwakua hayajakukuta poa ila dunia ni mimi na wewe kama mimi limenikuta basi na wewe lipo njiani si lazima kwahili ila hata lingine.
 
Morinyo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
2,782
2,000
Hivi serikali ni nini? Kama ndo hii ninayoijua nadhani na yenyewe ilikunywa, lakini nanachojua mimi huyu mzee alifanya kazi muhimu sana ambayo wengi hwaijui ila kilichonishangaza zaidi ni mzee wa helikopta nae kushililiki mchezo huu.
 
y-n

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,997
2,000
Kwakua hayajakukuta poa
ila dunia ni mimi na wewe kama mimi limenikuta basi na wewe lipo njiani
si lazima kwahili ila hata lingine.

matatizo yananikuta,tena mengi tu.
ila kwa hayo ya kipuuzi hayanikuti.
Unadhani UKIMWI ungeweza kutibika kwa 500 tshs only?
Tatizo lako umeingiza na uislam wenu.
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,996
2,000
kuna watu wengi sana walipona ,na wengi pia walikufa. hata hospitalini hawaponi wote ndo mana kuna mochwari za kuhifadhi maiti. alitoa tahadhari watu waendelee kutumia dawa zao za awali kwa sababu si wote wenye imani ya kuwawezesha kupona. uponyaji haukuwa kwny kikombe bali uko ndani ya mtu. kikombe ni kama magongo anayotumia mlemavu:mtu ndiye anayeamua aelekee wapi sio magongo. magongo ni support tu ya kumsaidia. imani ya mtu ndani yake ndiyo inayomponya. babu alikua anachochea tu imani za watu ili ziwaponye! hata issah au yeshua au jesus au yesu alitema mate chini akatengeneza tope na kumpaka kipofu kisha akaona baada ya kwenda kunawa. Sasa tujiulize dawa ilikua ni tope au mate au maji alokwenda kunawa? Kwa kifupi dawa ilikua ni imani ya bwana yesu iliyogundua udhaifu wa imani ya yule kipofu isiyoweza kufanya kazi mpaka ipewe support ya kushika. Babu hana kosa atakuja kukumbukwa kama shujaa,hata mandela alikua shujaa japo watu wengi walikufa ktk kutengeneza ushujaa wake.
 
Nyanidume

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
2,348
2,000
matatizo yananikuta,tena mengi tu.
ila kwa hayo ya kipuuzi hayanikuti.
Unadhani UKIMWI ungeweza kutibika kwa 500 tshs only?
Tatizo lako umeingiza na uislam wenu.

Kwa ulichokiandika kinadhihirisha jinsi gani akili zako zilivyoathilika na moshi wa mmea ambao umechanganywa na haja kubwa. Huna hata chembe ya busara wewe! Na siamini kama ushawahi kupatwa na matatizo kama unavyodai, tambua kwamba mtu ukiwa unaumwa au unauguza huwezi kudharau tiba yoyote utakayoambiwa na ikizingatiwa kwamba kile kizee kiuaji kilikuwa kimepata promo za kutosha kama vile watu kujtangaza wamepona maradhi yao, hivi unadhani mtu ambaye ameshahangaika sana ktk kuuguza au kuumwa unaweza kuzadharau taarifa hizo bila kuzifanyia kazi? mtu mjinga sana wewe usiye na hata chembe ya huruma kwa binaadamu wenzako!
 
TsafuRD

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
1,907
2,000
Wengi tunamjua kama babu wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo na rafiki yangu Nobert, sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo? Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji anadunda tu kitaa?
Mbona Shekh Ilunga anadunda, wewe ndo umemwona babu wa Loliondo ee! Babu si aliwaambia kilekikombe ni cha imani, sasa kama ndugu zako walikuwa hana imani walifuata nini.
 
Mhabarishaji

JF-Expert Member
Oct 5, 2010
1,006
2,000
Wengi tunamjua kama babu wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo na rafiki yangu Nobert, sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo? Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji anadunda tu kitaa?

Kila mtu mkweli anajua babu ni tapeli wa karne. Hata hivyo nani wa kumfunga paka kengele? Siyo kwamba serikali imeshindwa kumshitaki kwa kuwa ni mkristo, ila ni kwamba serikali yenyewe inahusika katika utapeli huo. Waziri wa afya mapema kabisa alikiponda kikombe. Harakaharaka Lukuvi akampinga na kukipigia debe kikombe. Babu akalindwa na majeshi yote alipokwenda kanisani, alipokwenda kumzika mwanae, na waratibu wa kugawa kikombe walikuwa haohao. Magufuli naye akatumia fedha za serikali kujenga barabara zinazoenda kwenye kikombe, fedha ambazo hazikuwa katika bajeti. Utafiti wa mwanzo ukatangazwa na serikali kwamba dawa haina madhara, viongozi wote wa serikali wakahamia huko. Bodi ya utalii ikasema wamepata utalii mpya, "MEDICAL TOURISM". Katika mazingira haya, kumshitaki babu ni sawa na serikali kujishitaki yenyewe!
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,196
2,000
Wengi tunamjua kama babu wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo na rafiki yangu Nobert, sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo? Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji anadunda tu kitaa?

Babu hajawaua hao kwani kikombe chake Mbona hakikuwaua Mawaziri na watu wengine ?hao walifariki kwa mapenzi ya Mungu kumbuka Hakuna aliyelazimishwa kwenda kwa Babu watu walienda kwa hiari Yao tu hivyo hapaswi kujidai kuamuru babu ashitakiwe eti kisa alipafanyia promo kijijini kwake kiasi cha kupelekea kufahamika duniani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom