Dah hii picha imeniumiza sana nimeshindwa kujizuia, nimeumia sana

kijana wa leo

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
2,856
7,002
FB_IMG_1481915501147.jpg
 
Uwiiiiiiii Mungu wangu! Kwanini umeileta huku mkuu?
Nimeshalia sana mchana kutwa wa leo sasa unasababisha nalia tena.
Pole Max,pole sana kaka yangu.

Leo hii natype hapa kwa uhuru sababu ya kujitolea kwako kulinda Uhuru huu wa kutoa maoni!
I'm with you through prayers

 
Ni kosa gani alilolifanya Melo???? Kwanini watawala wamekosa utu kiasi hiki???? Kwann anatenganishwa na familia yake??? Hivi hawa watawala hawakuwahi kuishi maisha ya kawaida kama anayoishi Melo,??? Utawala wao watadumu nao milele??? Dah basi tu inaumiza sana. Rais wa awamu ya nne ilifika mahali watu wanasambaza Photoshop akiingiliwa kinyume na maumbile lakini sikuwahi kuona wakinyanyaswa namna hii, alikua na uvumilivu wa kiuongozi, alielewa yeye ni binadamu anakosea na alikua tayari kukoselewa, kwann huyu ataki kukusolewa??? Threads ngapi ziko humu zinasifia mazuri ya serikali yake??? Yote haya yanalipwa kwa huu unyama???? Kweli!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom