Dah! hawa COET-UDSM, wamezidi sasa

Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,

Sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.

Dah unanikumbusha machungu ila na mimi nilitoboa.
 
Huwa siamini kwenye shule ngumu. Udsm nasoma hapo zaid ya complicating issues hawana jipya. Jaman kusoma sio adhabu kusona ni kukuza stadium za kutawala mazingira. Hvi drsa zima wanapofel lecturer yule wa nn? Inatakiwa tu-adopt Sera ya no child left behind failure ya mwanafunzi 1 ina cost staff nzima.

ninasoma hapa department flani aisee hawa jamaa ni complicatorrs balaa
 
Yani! Alafu kuna tangazo la kazi walikuwa wanataka engineer wa Civil na wakaandika eti mshahara laki tano. Yani niliyaona hayo ni matusi balaa!
 
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,

Sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.
Duuh
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom