VAN HEIST
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,434
- 607
malecture wakibongo wakiendele kuwapigisha misuli yatima na kuwafelisha cha kujifia nini? nendeni vyuo vya private kama ST.JOSEPH na n.k muwaone hao hao malecture wanavyowapa vitu vya ukweli na GPA nzuri endapo tu ukiendeleza bidii yako me nachukia sana shule za serikali kuanzia O-Level mpaka A-level mpaka vyuoni japo nimezisoma mpaka yaani wabongo wenzetu wana wivu kweli wanatufelisha na kutufanya tuone mambo magumu wakati techniques zote za kutuwezesha tupasue GPA nzuri wanazo hii ni too much utafkiri hivyo vyeti tutaendanavyo mbinguni au motoni
dah wabongo kwa kukomoana hatujambo... nakumbuka mwalimu wangu wa physics A LEVEL aliniambia yanayotokea wakati wa kutunga mitihani katika maswali yaliyopendekezwa ikatokea kuna swali rahisi (direct qn) ambalo mwanafunzi hatopata shida kulifanya linaondolewa na kuwekwa swali ambalo hakuna mwanafunzi atakaelipata... na hii imetokea mara zote...
vinginevyo umeongea point nzuri sana. tatizo kubwa vyuo vya private hasa hapo st. joseph ni ada tu...