Dah! hawa COET-UDSM, wamezidi sasa

Mkuu mwambie dogo uhandisi sio lele mama someni sio complain tu!siku hizi nasikia mnacarry nafuu ukubwa!enzi hizo foe ngoma tatu hamna mjadara!alikuwepo segu,ishengoma,mayo,owen na rubaratuka na mmoja wa mchoro. Yaani utatokea wapi!siku hizi poa sana

nakwambiaje huyo mayo na mwenzake shirima mabenz sio kabisa.
 
Kinachonishangaza Mimi Yoote hayo wameeanza kuyafanya tangu Chuo Kimeanzishwa lakini mpaka leo Hata Transistor tu hatuwezi kutengeneza, ukienda Tanelec Arusha ambako wanatengeneza Transformer wanaajili wageni kwa kuwa hawapati wahandisi wa ndani waliopikwa na kuiva... sasa sijui Hizo GPA huwa zinaishia wapi!
 
malecture wakibongo wakiendele kuwapigisha misuli yatima na kuwafelisha cha kujifia nini? nendeni vyuo vya private kama ST.JOSEPH na n.k muwaone hao hao malecture wanavyowapa vitu vya ukweli na GPA nzuri endapo tu ukiendeleza bidii yako me nachukia sana shule za serikali kuanzia O-Level mpaka A-level mpaka vyuoni japo nimezisoma mpaka yaani wabongo wenzetu wana wivu kweli wanatufelisha na kutufanya tuone mambo magumu wakati techniques zote za kutuwezesha tupasue GPA nzuri wanazo hii ni too much utafkiri hivyo vyeti tutaendanavyo mbinguni au motoni
 
malecture wakibongo wakiendele kuwapigisha misuli yatima na kuwafelisha cha kujifia nini? Nendeni vyuo vya private kama st.joseph na n.k muwaone hao hao malecture wanavyowapa vitu vya ukweli na gpa nzuri endapo tu ukiendeleza bidii yako me nachukia sana shule za serikali kuanzia o-level mpaka a-level mpaka vyuoni japo nimezisoma mpaka yaani wabongo wenzetu wana wivu kweli wanatufelisha na kutufanya tuone mambo magumu wakati techniques zote za kutuwezesha tupasue gpa nzuri wanazo hii ni too much utafkiri hivyo vyeti tutaendanavyo mbinguni au motoni

mkuu umenena. Big up.
 
Kinachonishangaza Mimi Yoote hayo wameeanza kuyafanya tangu Chuo Kimeanzishwa lakini mpaka leo Hata Transistor tu hatuwezi kutengeneza, ukienda Tanelec Arusha ambako wanatengeneza Transformer wanaajili wageni kwa kuwa hawapati wahandisi wa ndani waliopikwa na kuiva... sasa sijui Hizo GPA huwa zinaishia wapi!

POOR POOR YOU ONGEA KWA FACT ACHA POROJO NDUGU... kuhusu tanelec kaa kimya kabisa hujui unachosema acha kupotosha rudi kafanye homework yako vizuri....

tanelec ina engineer wazawa wanatoka mlimani ndio wanao design switchgear na distribution transformer nyingi ..
unazoziona mtaani ni kazi ya tanelec WAHANDISI wazawa ... naongea nikiwa na uhakika asilimia 100 % ..sababu ni fahamu hii kitu
 
Vipi chuo ulimaliza salama? Mlimaliza wa ngapi?

Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.
 
Electrical unalia hivi civil ataeemaje jamani

cc;comrade mayo ,prof,mjasiriamqli
 
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.

Mosi, hilo ni jambo jema kabisa, kwani bila kufanya hivyo hatutakuwa na wataalamu mahiri na kukwepa maafa yanayotokana na ma-engineer wasiokuwa na uwezo. Pili, hii ni dalili ya matokeo ya Big Results now!!
 
Prof msambichakq,,Dk mfinanga bado wapo,,day kunayule wings qlikuwa anatuvua NGUO Dk naniivile was it,,alikuka hadi kichwa chamtoto wa dadake
 
Mkuu nipemajinayawalimu waliopo nikupeudhaifu wao kwenyekusimamia mitihani,,,
1:kuna ambao unakujanamagazeti hawa mwqnzomwisho nikusoma nyuzi

2;kuna ambao kushoto awaoni
hawa unadili na desa kiti cha kushito mwosho aka mwisho

kuna wasioona karibu
hawa unakaa mbele tena desaunafungua anatoajicho kutishia nyau kumbe aoni kitu

ungenipa jinsia yako ningekusaidia zqidi kukutanisha nao pale uûdasa

usdm kujipanga,,kunawaliolewa kilasiku wakaondoka na gp kubwa sembuse wewe unakomaahulali aka mbunge
 
PropagandA za wakufunzi wa hapo,unajua akili zao bado zina matatizo akiona wewe unafaulu vizuri tu haamini kama ni kweli,kufundisha hawafundishi na bado wabafanya unoko wa karne za zamani,Chuo haitakiwi kuwa hivyo asee.

Nakushauri kuna vyuo vizuri tu VyaEngineering Tz,Achana na upuuzi wa Udsm,Na kwa taarifa yako hao wanasema wamesoma hapo..wanakimbizwa vrz mtaani hakuna chochote kile,Tunataka vitendo sio nadharia katika Uhandisi.
 
endelea kubwabwaja maneno bila kusoma tatizo watoto wa UDSM kulia lia kwingi shule hakuna. muwaulize wezenu waliokuja kwenye soko la ajira za makampuni ya mafuta kama schlumberger, hullibuton, beker hughers na BG Group tulivowagaragaza vijana kutoka UDOM petroleum engineering hatuna utani na maneno mengi sisi endeleeni kuongea na kubebwa na jina huku vijana tunafanya yetu swala si chuo siku zote nasema swala ni unapambana kiasi gani kuhakikisha unapata ujuzi wakutosha waajiri wa siku hizi hawaajiri jina la chuo wala kozi wanaangalia uwezo wa mtu binafsi. karibuni BG Group na mwaka huu pia muone vijana walivo nondo kutoka udom.
 
mbona povu lmekutoka wew,graduate wa petroleum engineering kutoka udsm n yupi huyo mwenzetu utuambie?course toka ianzshwe ndo kwanza ina miaka miwil....
...
 
Back
Top Bottom