Dah chukua hiyo mpya

seseme

Member
Sep 27, 2011
30
2
Kunakamchezo nacheza hapa kanafurahisha kweli, hebu jalibu na wewe, weka cim yako vibration kisha iweke kwenye maji uone cim inavyo ogelea!
 
kila mtu ana wazimu, tofauti ni kwamba wehu mwingine hauna simile!
 
Weka kwanza wewe halafu tuwekee picha nasie tutajaribu maana ni kweli mpya hapa tanzania
 
mnh ndo mana marehemu steve jobs alikua master mind wa apple mana sidhani ka muda mwingi alikua anawaza upuuzi ka huu
 
mmmhh......ukichukua akili ya huyu usipochanganya na yako....you are Kwishinei!!
 
Ebo kumbe kweli, haaa haaaa, nayangu inaogelea wajamen mweee!haka kamchezo kanafurahisha!
 
Dah, Nimeamini kweli starehe ya mtu ni uchizi wake mwenyewe na mimi pia nina uchizi wangu hivyo we endelea tu.
 
Back
Top Bottom