Dagaa walio kaangwa kutoka mwanza

ayman makoye

Member
Jan 3, 2017
6
21
Habari za leo ndugu mr.busin£ss supplier
Tunajihusisha na usambazaji wa dagaa wa kukaangwa kutoka ziwa victoria (mwanza) kwa bei nafuu kabisa ni dagaa safi wasio na mchanga ni watamu sana (Wanalika bila viungo vingine) wana uwezo wa kukaa mda mrefu bila kuharibika wamefanyiwa packaging katika mazingira safi na salama pakiti moja inauzwa sh 2000/=
0716865460/0763571013
We offER fRe£ deliVERy
 
Inateghemea na ww mwenyewe ss uhtaji wako,Si tuna tuma kwa kuangaria order ulyo toa
Toa majibu yakueleweka kuwa kuanzia mzigo wa pkt kadhaa ndio tunatuma. Sasa unajibu inategemeana wakati ushasema mnatuma mzigo mkubwa tu na haujaspecify huo mzigo mkubwa ni kiasi gani!!!
 
kweli mkuu ,halafu yupo mwanza sasa sie tunaoishi kibiti kweli ataweza kututumia
 
Marketing kibongo bongo bado sanaaaa, mtu anatoa tangazo ambalo bado lina maswali kibao, na ukiuliza majibu yanatolewa utafikiri mtu anatania tu hayupo seious na biashara.
 
Habari za leo ndugu mr.busin£ss supplier
Tunajihusisha na usambazaji wa dagaa wa kukaangwa kutoka ziwa victoria (mwanza) kwa bei nafuu kabisa ni dagaa safi wasio na mchanga ni watamu sana (Wanalika bila viungo vingine) wana uwezo wa kukaa mda mrefu bila kuharibika wamefanyiwa packaging katika mazingira safi na salama pakiti moja inauzwa sh 2000/=
0716865460/0763571013
We offER fRe£ deliVERy
Nipo mtwara nahitaji packti moja nile mchana huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom