Mgawe777 Member Oct 28, 2017 17 6 Oct 28, 2017 #1 Dagaa safi wakukausha toka bukoba debe kumi kwa shilingi 280,000 /=
Mathias Raymond Nyakapala JF-Expert Member Mar 1, 2017 2,182 1,490 Oct 28, 2017 #2 Mzee fursa naifurahia naomba mawasiliano ili tufanye maongezi
zipompa JF-Expert Member Aug 19, 2014 10,140 21,449 Oct 28, 2017 #3 hawa dagaa wako poa sana hawana mchanga, naona huwa wana anikwa kwenye nyasi.
Mgawe777 Member Oct 28, 2017 17 6 Oct 28, 2017 Thread starter #4 Mathias Raymond Nyakapala said: Mzee fursa naifurahia naomba mawasiliano ili tufanye maongezi Click to expand... Napatikana mkoa wa kilimanjaro namba 0752435243
Mathias Raymond Nyakapala said: Mzee fursa naifurahia naomba mawasiliano ili tufanye maongezi Click to expand... Napatikana mkoa wa kilimanjaro namba 0752435243
Mgawe777 Member Oct 28, 2017 17 6 Oct 28, 2017 Thread starter #5 Mgawe777 said: Napatikana namba 0752435243 Click to expand...
M MR MD BONIFACE Member Oct 25, 2017 13 3 Oct 28, 2017 #6 WhatsApp me +255676019019 km una uwezo wa kuuza kontela la 20 feet .no advance leta mzigo ulipwe guarantee nakupa ya malipo kwa benki utakayo duniani
WhatsApp me +255676019019 km una uwezo wa kuuza kontela la 20 feet .no advance leta mzigo ulipwe guarantee nakupa ya malipo kwa benki utakayo duniani
tinkanyarwele JF-Expert Member Dec 30, 2016 2,017 1,940 Oct 29, 2017 #7 Jamani hata mimi ambaye anauhitaji na dagaa wa bukoba ani pm