dafatari la wapiga kura laibiwa

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,347
559
Gazeti moja leo limeandika kuwa daftari la wapiga kura limeibiwa tayari, huko newala,
je ni matayarisho ya uchaguzi?
je ni la kwanza kuibiwa au kuna mengine ambayo yanapotea na kupatikana kwa namna za kitanzania?
manake nasikia harufu ya uchaguzi kabla ya 2010
 
Back
Top Bottom