Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

Uongozi wa kisiasa nchini Tanzania unanunuliwa kwa pesa nyingi. Hii imetoa mwanya kwa "wahalifu" waaina zote (including those practising the "oldest profession") wenye pesa kupata uongozi. Kwa maneno mengine wahalifu wengi ni viongozi wetu na hawata acha uhalifu wao kwani ni njia rahisi ya kupata mali na ni njia walioitumia kupata mali waliyonayo. Kuna uhusiano wa kimazingira kati ya waliokamatwa na mbunge na kwa hakika anastahili kuhojiwa na kutuhumiwa kuhusika kwa kufadhili na huenda hata yeye alibeba "mzigo" na hakukamatwa kwa kuwa na "diplomatic" passport. Aibu yao.
 
Sasa naanza kulewa kwanini licha ya wauza madawa ya kulevya kufahamika lakini bado hawapelekwi mbele ya sheria...chain itakuwa ndefu sana kiasi kwamba hata ambao hatuwatazamii, nyuma ya pazia ndio vinara
 
CCM ni genge la wauza madawa ya kulevya

JESHI la Polisi nchini limemkamata Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, kwa tuhuma za kuhusika na matukio ya mashambulizi dhidi ya watu hapa nchini.
Taarifa kutoka Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni jijini Dar es Salaam zilieleza kwamba Lwakatare alikamatwa saa 7 mchana na watu wanne waliojitambulisha kama maofisa wa Jeshi la Polisi ambao walifika na gari aina ya Toyota Land Cruiser jeupe lenye namba za usajili T 140 BLA likiwa na chata ya kitalii.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso, alisema Lwakatare amekamatwa kwa tuhuma zilizosambazwa kwenye mtandao.
Hata hivyo Musa hakusema ni matukio gani yanayomhusisha kigogo huyo, lakini mtu aliyesambaza mkanda wa video katika mitandao ya kijamii jana aliandika chini yake maneno yasemayo: ‘Mikakati ya mateso ya Kibanda na mwandishi mwandamizi wa gazeti la Mwananchi, mhusika mkuu huyu hapa.' akimaanisha Lwakatare.
Angalia video hiyo hapa chini
 
Alichaguliwaje viti maalumu!! Nina wasi wasi na huyo anaependekeza hayo majina ya haya majina ya wabunge wa viti maalumu,, sijui vigezo vyake ni nn mpaka amchague mtu!! Na mbona viongozi wa chama letu tawala hawalisemei hili maana kila mtuhumiwa ni mwanachama wa chama letu la mapinduzi ya mafisadi ,,rushwa,, madawa ya kulevya na ujangili! Wa meno ya tembo
 
Mnaungaunga story ili mkamilishe ujinga wenu???
nyie ni wezi wa wake za watu
wamwagia watu kwa tindikali
walisha watu sumu
walipua watu kwa mabomu

Mbona umekuwa mkali hivyo babayako? Jiwe lililorushwa limekupata nini?
 
Last edited by a moderator:
nchi yetu inazidi kuchafuka kimataifa , hata wanausalama wetu wanao simamia sehemu nyeti kama airport nao wanahusika kwa asilimia 100
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom