Dadadeki!!!! Noma hii!!!! Kenya Secures Ksh3 Trillion Starter Pack to Revive Economy

Tutalilia chooni kwa hili. Mikopo hii tunapokea kutoka kwa mibeberu inakulwa na hidden agenda kwa Raiyaa ila viongozi wanajua kuwa hatutoweza kulipa Bila kuachilia Mali ghafi kwa beberu.

Bei ya chakula ishapanda tayari, Kazi hakuna na zaidi curfew bado ipo Kenya na Nigeria tofauti ni hina tu!
Ulikuwa wapi mwaswast, karibu sana
 
Back
Top Bottom