MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,749
- 48,358
- Thread starter
- #41
Huo ni mtandao mmoja voda pekee chief. Halafu hizo bando unachagua tu mwenyewe. Ya siku wiki mwezi n.k na zipo ambazo hazina limit ya muda. Bongo internet ni very cheap na kasi ipo ya kutosha.
Huku bando inatumiwa haswa maana watu wana stream video haswaa..na pia mitandao inayokula data kwa wingi kama YouTube, Instagram, tik tok n.k huko wabongo wamejazana sana. 15G kuisha in a month ni kitu ya kawaida sana. Na hiyo ni buku tu ya kenya
Nimewahi kuishi Bongo bana, hamna mtandao mwingine zaidi ya Voda, hao wengine ni choka mbaya wa kutupa mbali, labda kama wameboresha.
Nakumbuka nilivyohangaika na hiyo mitandao mara Tigo, mara sijui Haloel hovyoo kabisa too slow internet. Voda kidogo walikua nafuu, kasi yao inakaribia kufikia ya mitandao ya Kikenya.