Dada zetu, sio kila mwanaume anayekununulia bia anataka kukunyandua wengine ni kampani tu inatosha

Me niwe mkweli kutoka moyoni me ningemuweka hata goli moja kwene gari ale hela ya uber na JD moja nitoke kapa? Siku moja nimekaa na mwanamke rafiki angu samaki samaki pale ananicheka nakula bia zangu local ye anakunywa JD nachoona kichekesho kuliko vyote mimi ndio mlipa bili, yan niweze kumlipia yeye nishindwe kujilipia mimi . Anyway kawaka akawa kila saa ananishika mboo me ningefanyaje walimwengu ? Kaka kweli tunasamehe sana vingine vimezidi aisee daaah nasema kwa jina ya Mungu kuna vingine kuvishinda labda mboo haidindi mzee...
 
Mimi kama mfanya biashara najua yule yupo kazini na anastahili malipo yake. Wewe mwenyewe umesema alikuambia muondoke wote ukakataa, meaning alikua kazini na alikua anategemea ujira. Hakuna mwanamke asiye malaya anaekwenda kwenye starehe, akatumiwa mhudumu akamuite kwamba kuna mwanaume anataka ukampe company nayeye akaja. Huyo ni malaya na yuko mawindoni na wahudumu hua wanawajua.

Hahaha mzee 30k ya uber nlompa ni kubwa sana huenda hata asingepata mtu sikuhio
 
Me niwe mkweli kutoka moyoni me ningemuweka hata goli moja kwene gari ale hela ya uber na JD moja nitoke kapa? Siku moja nimekaa na mwanamke rafiki angu samaki samaki pale ananicheka nakula bia zangu local ye anakunywa JD nachoona kichekesho kuliko vyote mimi ndio mlipa bili, yan niweze kumlipia yeye nishindwe kujilipia mimi . Anyway kawaka akawa kila saa ananishika mboo me ningefanyaje walimwengu ? Kaka kweli tunasamehe sana vingine vimezidi aisee daaah nasema kwa jina ya Mungu kuna vingine kuvishinda labda mboo haidindi mzee...

Inadepend mzee na mood uliyonayo sikuwa nataka demu ndomana niliacha ndege apepeee
 
Hahaha mzee 30k ya uber nlompa ni kubwa sana huenda hata asingepata mtu sikuhio
😂😂😂 anaweza asipate wa kumlipa 30k, ila akapata boya akamuibia simu, pochi, nk ambapo asubuhi angeamka na kitu kama 200k. Hawa hua hawategemei malipo peke yake
 
anaweza asipate wa kumlipa 30k, ila akapata boya akamuibia simu, pochi, nk ambapo asubuhi angeamka na kitu kama 200k. Hawa hua hawategemei malipo peke yake

Hapa sawa ila alikula selfie nyingi akiwa na jd so alivimba sana
 
Aisee wewe uko kama mimi, nikienda club natafuta pisi la kucheza nalo muziki..atakunywa na kula..nafanya nae makubaliano nae mapema kabisa kwamba ni kampani tu ya muziki na posho yake ya muda wake nampa. Sasa kinachotokea atajiachia wee akifikiri nitabadilisha mawazo Ila wapii, ikitokea nimemuelewa sana nitachukua mawasiliano yake na nitamtafuta wakati mwingine tena sio club.
 
Wakubwa mpo?
Kuna baadhi ya wanaume kwenda club kurud bila dem hawez yani kashaweka mazoea hivo au tamaa tamaa za madem hii sio nzuri wakuu,

Jmosi niliua maeneo flan hv bhs mimi huwa nakuwa na mazoea na wahudum wa maeneo mengi sana hapa bongo wengi ni marafiki sana yani nikitaka kwenda eneo na mcall ananiwekea space. Bhs nilikua na bros 2 jumla watatu tukaagiza drinks tukapiga ilipofika mida ya sa5 night wakasepa wakaniacha alone pale nikiendelea lipa kodi taratibu.

Raha ya pombe uwe na campan bhs nikamwambia dada anichekie pisi kali tuendeleze kunywa, aisee kweli dada alileta pisi kali shombe shombe htr, nikamwagizia JD alifurah sana bhs ndo kufahamiana na story zikawa moto

Imefika mida ya sa9 nikamwaga nataka sepa akaniuliza mbna mapema wkt ndo mzuka umempanda nikamwambia nasepa next time. Akasema bhs tuondoke tukamalzie mzuka wote nikamwambia tukamalizie wapi? Akanijibu hata kwako, lodge sawa wewe tu.

Mimi sikuwa na mpango wa kumla nilitaka kampani tu ya kunywa tu, nikamwambia hapana haiwezekan lengo langu sio hilo me nilitaka campan tu coz nilikua peke yangu, bhs nikamwachia pesa ya uber, wkt nasepa akaomba namba sikumpa nikamwambia anipe yake mpaka sasa sijamchek. Dada alikuw kashanielewa mhuni.

Dada zetu so kila mwanaume anayekununilia bia anataka kukunyandua wengine ni campani tu inatosha. Da masela sio kila dem wa kumla wengine unaachia waende tu, tuwe na self control
Kwa wasio elewa humu au wageni watajua hii story inahusu kuwafundisha wadada kuwa company sio lazma waliwe...
 
Kawaida sana lakini mara nyingi huwa nafanya hayo ninapokuwa sina njaa (hamu) ya kutouππber vinginevyo hapana aseee
 
Aisee wewe uko kama mimi, nikienda club natafuta pisi la kucheza nalo muziki..atakunywa na kula..nafanya nae makubaliano nae mapema kabisa kwamba ni kampani tu ya muziki na posho yake ya muda wake nampa. Sasa kinachotokea atajiachia wee akifikiri nitabadilisha mawazo Ila wapii,ikitokea nimemuelewa sana nitachukua mawasiliano yake na nitamtafuta wakati mwingine tena sio club.

Umetisha mkuu ndo inavotakiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom