Dada zetu punguzeni kubana matiti, mtakufa kwa kukosa hewa

Tupumzisheni hata tukifa tupo wengi sana zaidi yenu huo ni ujana tu ushawah muona mtu mzima 35+ ana hizo mambo
Mimi na 27-28 ila sijawahi ili nini saaa kwa ajili ya nani age doesn't make you to do rubbish things or stupid thing kwanza hiyo picha huyo dada ni above 35 nani kavaa hivyoo woiii akili ya mtu manzee sio miaka .
 
27-28. katoto kazuri sema tu una 28 afu vichuchu. msumari ila subiri uzalishwe vitadondonka kama maji ya kandoro
 
Tupumzisheni hata tukifa tupo wengi sana zaidi yenu huo ni ujana tu ushawah muona mtu mzima 35+ ana hizo mambo
Mpenzi sonia aliimbaga juma nature.sasa nikwambie huku magomeni kuna wanawake wana miaka 45 hadi 50 wanabooast balaaa
 
View attachment 836948
Dada zetu mnabana matiti hadi mnashindwa kuhema vizuri kisa tu mturushe roho,BTW utafiti unaonesha asilimia 97 ya wanaume duniani wanadata na chura kuliko matiti,ni bora kuifunga chura kiustadi zaidi kuliko kutumia muda mwingi kifuani.
Mnachofanya ni sawa na kwenda Ubungo kupanda ndege.
Wakuu povu ruksa.

Huyu demu kweli, mbona anafanana na mwanamme?
 
Napenda sana mwanamke akiboost!... Kalio extra advantage tu!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom