Dada zetu Mnapoenda Kanisani Jaribuni Kuvaa Vizuri

hahahahaha... sasa baba mchungaji si atakuwa na hali mbaya... hahaha!
 
Hapa mchungaji kazi anayo, mara tu kasahau mahubiri anashikwa na kigugumizi cha ghafla.
 
Hahaha kanisa gani hili?

I wonder!


Ila kaka si utani...in as much as hiyo picha si ya kanisani, siku hizi kanisani wanavaa vitu vya ajabu aisee!!!

Ndo maana huwa napenda kukaa mbele kabisaaa...nkichelewa kabisa naenda kujibana na wanakwaya huchelewi kuondolewa upako!!!
 
Hii dunia yaani watu wameona kuwa kanisani ndio sehemu ya mashindano ya mavazi
 
Hilo ni kanisa gani aisee???
hata kwa macho inaonyesha sio kanisa... huoni hizo chupa za vinywaji vyenye stop order kanisani chini ya viti? na uliona kanisa gani waumini woote waende bila hata kitabu cha nyimbo?
 
Hapa inaelekea ni kwenye Miss Tanzania.. au kwenye sherehe furani ya kipashikuna .... sio kanisani
 
Kwanini muwalaune na hakuna dress code ya kanisani?

Nguo ya heshima....is too general and very subjective term
 
Back
Top Bottom