englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Hahaha kanisa gani hili?
hata kwa macho inaonyesha sio kanisa... huoni hizo chupa za vinywaji vyenye stop order kanisani chini ya viti? na uliona kanisa gani waumini woote waende bila hata kitabu cha nyimbo?Hilo ni kanisa gani aisee???
Aliyepiga picha aliinama mno!