ulimbukeni tu, kati ya watu 10 wanaochora tattoo 7 wanajuta baadae kwa nini walichora na wanatokea kuzichukia. Wanaiga za wasanii wa marekani bila kujua wenzetu wanabandika stiker.

Mkubwa,waonaje kama utatuletea habari nzima hapa badala ya kutoa links tu?
JF itajaa links tupu wakati wewe wapigia promo blog yako.
Tafakari,chukua hatua.
wewe cjui ndo Apollo ni lazima uwe kwenye kundi la wachora tattoo wasiojutia coz wewe bado mdogo sana kiumri na kiakili kwa ufupi wewe ni broiler. c ndo unaingia kuanza chuo mwaka huu?? Sasa hapo UDSM ndo utalimbuka utafanya yote mpaka yai watakupasulia then wenge ndo litakuisha.

heheheee. Hapana bi mkora..nilitania tu. Mimi sina tattoo na sitegemei kuwa na tattoo..huo ndio ukweli..nilitania kutetea avatar na profile picture yangu. Mimi sipo hivyo kama unavyofikiria bi mkora.
wewe cjui ndo Apollo ni lazima uwe kwenye kundi la wachora tattoo wasiojutia coz wewe bado mdogo sana kiumri na kiakili kwa ufupi wewe ni broiler. c ndo unaingia kuanza chuo mwaka huu?? Sasa hapo UDSM ndo utalimbuka utafanya yote mpaka yai watakupasulia then wenge ndo litakuisha.
bi mkora, kupasuliwa yai maana yake ndio nini?  msamiati mgumu huo!

hahaha hujui!!!! jamaa kanikumbusha mbali kipindi nikiwa Ifunda technical sec kuna jamaa walimpasulia yai la kuku akajua wanaume wameshamla uroda jamaa alifungasha virago na kuacha shule jumla