Hivi..Kinachodhalilisha hapo ni huo upigaji picha au alivyovaa...??? Hata kama asimngempiga picha............ KUJIDHALILISHA KUNGEBAKI PALE PALEumepiga pic bila idhini yake ni udhalilishaji huu!
Inategemea umelelewa vipi....AU........... tabia yako ipoje.............. hata mashoga nao wanaona ushoga si ajabumbona sijaona cha ajabu hapa?? majungu tu