Dada zetu kuweni honest, mtuonyeshe pia wanaowawezesha!

Hahaha...mtu yupo single, yupo 30+ huko, anafanya kazi nzuri, hajapata mwanaume serious, jamani anakosa kujilipia kasafari kamoja kwa mwaka kwenda Rome jamani!???

Hana ndugu wanaomtegemea wala nini.

Hizi safari ujue wala si ghali kama tunavyofikiria aisee. Tena kama mnajipanga as a group...maisha ni marahisi sana kujinyima starehe za dunia hii.
 
Wangapi wako na hali pamoja na mentality hiyo enzi hii ya anko Magu?

Halafu umepotea sana kijana

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Uliniibia mwallu ukataka niendelee kuwepo!??

Kwani ni wangapi unaowaona wanaenda huko ma-Italy anko!??

Halafu kitu kingine nimegundua, vyuma vimekaza kote kote, zile sehemu za starehe nazo ziku hizi wamelegeza kidogo walau waweze kubaki kwenye soko.
 
Hivi utani pembeni huyu mwallu yuko wapi siku hizi

Vyuma kukaza usiseme wengine wanafunga kabisa sehemu hizo!

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
NIKUONYESHE ILI
-kwanza itafanya usiniwazie hata kunifikiria kunipeleka hata mbudya
-pili itakupa kimo cha ukitaka kunipeleka unipeleke wapi
BY THE WAY UMEANZA LINI KWA NA AKAUNTI INSTA NA MWALIMU WAKO HAJUI?
ujue siku hizi adabu zako zinapimika kwa punje za haradani/
wewe na Asprin nawatizama tu!
ILA MJUE KUNA MNAYEMPONZA in Zamaradi voice
endeleeni!
 
Mwalimu naomba shkamoo yangu kwanza. Mi sihusiki na kupandisha mishahara ila maadam mi ni wa Mamsera nahitaji heshima yangu kabla sijakasirika
 
Unataka kuninyima nini ?
kwanza ukininyima nachukua mwenyewe bila hata sekyula sijui ya nini!
shida ni kuwa nikisema mekumiss we utaanza kabisa kuomba ruhusa kazini!
AH BORA NINYAMAZE KIMYA!
 
We kaa kimya mi ntakufuata hukohuko Zimbabwe

Nimeshachoka na mambo ya Zilipendwa nataka uni "seduce me"
 
Hahaha...mtu yupo single, yupo 30+ huko, anafanya kazi nzuri, hajapata mwanaume serious, jamani anakosa kujilipia kasafari kamoja kwa mwaka kwenda Rome jamani!???

Hana ndugu wanaomtegemea wala nini.

Hizi safari ujue wala si ghali kama tunavyofikiria aisee. Tena kama mnajipanga as a group...maisha ni marahisi sana kujinyima starehe za dunia hii.
Kuna watu nawafahamu juzi wamerudi tour ya wiki mbili africa/mid east/europe under $3000 per head.
 
Back
Top Bottom