Dada zetu kama humpendi mtu basi usimuumize kwa makusudi

Encryption

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
994
1,338
Dada zetu kama mtu haumpendi basi usimuumize kwa makusudi.
Leo jamaa yangu kamuomba picha dem wake ambaye yupo mkoa kamtumia picha hii.
Ikumbukwe mwamba alikua anakula papuchi Kwa zaidi ya miaka miwili.
Dada zetu mtuhurumie.
Screenshot_20190625-230147.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom