Dada zangu punguzeni machaguo, muolewe...

Hawa wanawake hawajuagi wanachokitaka ni kitu gani maishani...kuwaelewa inahitaji uishi miaka mingi zaidi ya idadi ya nywele zako..
 
Mimi nadhani tuwaache wanawake wachague mtu wanayeona anawafaa kutengeneza nao maisha. Ajibebee tu then what? Maisha haya kila mtu aishi kufuatana na vile anataka kuishi. Kwani lazima awe na ndoa, au imeandikwa wapi kuwa mtu mume au mke atalaaniwa asipoingia kwa ndoa?

Acha watu waishi vile wanavyopenda muhimu wasivunje sheria za nchi.
Kaka, naomba nikuulize, haya maneno utatamani kuja mwambia binti yako umpendae kuwa it's okay atembee na kuwa na mahusiano na watu mbali mbali bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka, naomba nikuulize, haya maneno utatamani kuja mwambia binti yako umpendae kuwa it's okay atembee na kuwa na mahusiano na watu mbali mbali bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani binti yangu nitamwambia tofauti? Unataka aingie kwenye ndoa na mtu ili mradi afurahishe dunia? Ndoa sio kitu cha mchezo mchezo mama, unatakiwa kujitoa hasa...wengi wanashindwa na wanawaachia wenzao!!
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom