Dada zangu naombeni jibu, kwani hii nimeisikia kwa wanaume tu!

Ndiyo inatokea pia, unaweza kupanda gari kuukuu kama JABA na dereva
kafanana na hilo Gari, Hana mvuto wa kukufanya usikie raha ya safari
ili usafiri vizuri unajenga picha kuwa uko ndani ya SHANGINGI huku ukiendeshwa
na mbunge kijana. INATOKEA, hivyo usijidanganye kuwa kila abiria wako huwa anafurahia hiyo
safari yako kwani madereva wengine ni vimeo bila hivyo hupati raha ya safari.

Unafaa sana kuwa KUNGWI! au MNYAGO!
 
inatokea pale ambapo mtu hajapenda ila kamkubalia mtu sababu ya property lkn nje ana mtu anayempenda. Hujawahi kusikia mke wa tajiri anatembea na gardener au houseboy? Sababu nyingine ni labda haridhishwi na mpenzi wake.
 
Anyway nimepitia coments zote naona boss amesema jambo la msingi. Kwanza kama uko ndani ya rav 4 yako in real na dereva wewe ndio umemwajiri,halafu ukawaza uko kwenye shangingi dereva ni mwingine definately wewe ni mwizi wa penzi tena mwizi mara mbili. unamuibia hisia zake wakati wa tendo jambo ambalo ni baya sana na pili unamwibia mali zake.

kuwa na wakwako halafu jiaminishe kuwa nikila naye laizma nifurahi halafu uvute hisia za kuwa naye uone kama hutafurahia.
 
Mimi haijawahi kunitokea hiyo situation,nitakua muongo kusema ndio..


eehhh mmenigusa kwelikweli! dereva wangu kuna cku alikuwa amelewa, akaniambia mmh leo nimefika kileleni baada ya kumkumbuka abiria wangu wa kale namfahamu anaitwa bella, alivyotoka yeye ndio kuolewa mie. jamani kaka zangu hiyo kitu iliniuma mwezi mzima na bado sijaisahau. ilinifanya nikatafuta ajira nikapata afta one month maana niliona hakuna future hapo. nilipoaanza kazi, my friend kazini nikamsimulia na akanielekeza dating site ambayo hata yeye amepata tulizo la moyo! nikajiunga na mimi nimempata dereva from south africa, he sounds sooooooooo sweeeet! so at least napitisha muda na kujipa moyo kuwa gari yangu pia kumbe yaweza endeshwa na mtu mwingine na ikapata moto! FUNDISHO: HATA KAMA UNAJUA GARI ULIYONAYO HAIKIFIKISHI KILELENI, JARIBU KWA NJIA ZOZOTE JAMANI MWENZIO ASIJUE WALA ASIHISI, WALA ASITAMBUE! INAUMA MNOOOOOOOOOOO!
 
Back
Top Bottom