Dada zangu: Mwanaume aliyekuacha kwa dharau na dhihaka akiomba mrudiane, usikubali

Mwanaume yeyote aliyekuacha kwa dharau, dhihaka, matusi au hata kukuonyesha uchafu aliokuwa akiufanya na wanawake wengine, akiomba mrudiane naye usikubali.

Nakusisitiza tena, USIKUBALI. Kama alishindwa kutambua thamani yako wakati mpo pamoja hadi mkaachana, hawezi kuitambua tthamani yako mkirudiana. Furaha ya mwanaume kama huyo ni kumuona mwanamke aliyeachana naye akipata shida, akilia na kuuzunika katika maisha yake.

Mwanaume hujihisi fala pale anapokuona unaendelea na maisha yako kama kawaida, unafuraha na amani katika moyo wako, humtegemei wala kumlilia kama ulivyokuwa ukilia hapo awali juu yake, hivyo atafanya kila liwezekanalo mrudiane then akurudishe kwenye vikwazo ulivyovivuka.

Endelea kumuomba Mungu akupe ujasiri wa kusimama mwenyewe katika maisha yako. Muombe sana Mungu aendelee kuyalinda mahusiano yako mapya, ampe imani ya kukujali huyo mwenza wako mpya, akupende na kuyafanya mahusiano yenu kuwa yenye tija.

Muepuke sana mwanaume aliyekuacha kwa mbwembwe kisha anarudi kwa hekima akitaka mrudiane baada ya kukuona umefanikiwa kuyashinda majaribu yake na furaha yako kuimarika,
#nimekumaliza kama utasema oooh mimi nampenda sana bado wewe mruhusu utajionea hata wiki haipiti akisha kutia tu..
Yale yale yanaanza no sms no calls no anything utakua shamba la bibi
Acha kuwadanganya wanawake wezako wewe mume ni bidhaa adimu sana huwezi kuipata supermarket

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mume ni bidhaa afmdimuu sana
IMG-20190304-WA0004.jpeg

Yale yale yanaanza no sms no calls no anything utakua shamba la bibi😅😅😅
FACT
 
Kuna demu nilikuwa nampaga hela. Kuna kipindi nilimtimua kwa dharau nikamwambia asinitafte.
Toka juzi ananitafta anaomba turudiane.
Hakuna mwanamke atakukataa ukiwa unampa pesa tanzania hii ata umfukuze kwa dharau kiasi gani.
Wanaume tutafteni pesa hizi theory zao haziapply kwa wanaume wenye pesa

Sent from my iPhone using JamiiForums
na Mimi nipe pesa basi....ili use unanifukuza kwa tharau
 
Hili swala la kuachana na kuanza kutupiana vijembe ni utoto..

You may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Kuna demu nilikuwa nampaga hela. Kuna kipindi nilimtimua kwa dharau nikamwambia asinitafte.
Toka juzi ananitafta anaomba turudiane.
Hakuna mwanamke atakukataa ukiwa unampa pesa tanzania hii ata umfukuze kwa dharau kiasi gani.
Wanaume tutafteni pesa hizi theory zao haziapply kwa wanaume wenye pesa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mpumbavu huyo bibie usijumlishe wanawake wote huyo wako ni matonya kazi yake kupokea hajui kutafuta pesa na wanawake wa aina hiyo wananyanyaswa haswaaaa kwenye mahusiano.
 
Tatizo lenu hamjielewi hamjui mnataka nini na kwa wakati gani na kila siku tutawadharau tu mpaka mtakapojielewa. Mfano wa huyo niliokwambia ndo wengi sana sasa.Mwanamke siku zote maringo atamletea mwanaume asie na pesa wewe umeshawai kuona wapi mwanaume na pesa zake anaringiwa na demu kapuku?? Hutokaa uone kwa sababu mnapenda sana kitonga na ndio maana tuna wadharau sana.
Wewe unadhani kama naweza kukufukua mtaro ukakubali ili kesho ukiomba mtaji nikupe nitashindwa kukutimua kwa dharau kesho ukaja kuomba turudiane ili ukalipie kodi ya nyumba??
Wanaume tutafteni pesa asilimia kubwa ya hawa wanawake wa kipindi hiki ni kama mamalaya tu ukiwa na pesa utawapa na wala hawatakusumbua akili

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hakuna mkate mgumu kwenye chai,,,,
Kuna demu nilikuwa nampaga hela. Kuna kipindi nilimtimua kwa dharau nikamwambia asinitafte.
Toka juzi ananitafta anaomba turudiane.
Hakuna mwanamke atakukataa ukiwa unampa pesa tanzania hii ata umfukuze kwa dharau kiasi gani.
Wanaume tutafteni pesa hizi theory zao haziapply kwa wanaume wenye pesa

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hata tukiwaacha kwa dharau mnarudi wenyewe, yan kuna wanawake ving'ang'anizi....Paza sauti wakusikie aisee
 
Tatizo lenu hamjielewi hamjui mnataka nini na kwa wakati gani na kila siku tutawadharau tu mpaka mtakapojielewa. Mfano wa huyo niliokwambia ndo wengi sana sasa.Mwanamke siku zote maringo atamletea mwanaume asie na pesa wewe umeshawai kuona wapi mwanaume na pesa zake anaringiwa na demu kapuku?? Hutokaa uone kwa sababu mnapenda sana kitonga na ndio maana tuna wadharau sana.
Wewe unadhani kama naweza kukufukua mtaro ukakubali ili kesho ukiomba mtaji nikupe nitashindwa kukutimua kwa dharau kesho ukaja kuomba turudiane ili ukalipie kodi ya nyumba??
Wanaume tutafteni pesa asilimia kubwa ya hawa wanawake wa kipindi hiki ni kama mamalaya tu ukiwa na pesa utawapa na wala hawatakusumbua akili

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu pole sana unaonekana ama umetokea katika familia ambayo mama yako aliteswa mno na baba yako kisa pesa na bado akavumilia so kwako inakuwa ngumu kuamini sio kila mwanamke utamnyanyasa kwa pesa akakuvumilia, Pia unaonekana una machungu na hasira mno kwa wanawake hali hii ukiendekeza stoke inapiga hodi kwenye mwili wako, Unapoandika wanawake hawajielewi kwa hiyo hapo mpaka Mama yako, dada zako, shangazi wote hawajielewi unachuki mbaya kwa wanawake usipo angalia utavua nguo. Wewe wanawake unao kutana nao hawajielewi kama wewe.
 
Wanawake nao wanatafuta pesa mkuu.
Sema hivi, 'hakuna mwanamke mwenye njaa ya pesa, au mvivu wa kusaka pesa; atakukataa ukiwa unampa pesa'

Sio kila mwanamke anadanga mkuu. Wengine wanataka kupendwa na kuheshimiwa (love and respect)
Kuna demu nilikuwa nampaga hela. Kuna kipindi nilimtimua kwa dharau nikamwambia asinitafte.
Toka juzi ananitafta anaomba turudiane.
Hakuna mwanamke atakukataa ukiwa unampa pesa tanzania hii ata umfukuze kwa dharau kiasi gani.
Wanaume tutafteni pesa hizi theory zao haziapply kwa wanaume wenye pesa

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom