Dada Yetu, Mbona Mawazo yamekuzidi? Wakulu Msaidieni huyu -:)

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
318783_171066179700657_855673387_n.jpg
​
 
...kazidi na yeye, nimemwambia nina mke na kutoka nyumbani inahitaji mahesabu... yeye kawaahi...
 
sio vema kuweka picha za watu hapa bila ridhaa zao. Sio tabia nzuri. Small minds discuss people!!
 
Mbuzimzee si useme kuwa umetaka kuwaonyesha watu mapaja na si mawazo. Umejuaje kuwa mawazo yamemzidi na si vinginevyo? Haya we watege mafisi ya ngono wataisha kwa miwaya nawe mbuzi utaendelea kula majani yako bila hofu. Maana mbuzi hawaugui ukimwi pamoja na kujifanyia bila mpango.
 
sio vema kuweka picha za watu hapa bila ridhaa zao. Sio tabia nzuri. Small minds discuss people!!

Mkuu, na wewe hiyo Avatar ulipewa ruhusa na mwenyewe, au ndio yale yale ya Major Deegan Expressway, kwa jina lingine I 87, Bronx?
 
Mbuzimzee si useme kuwa umetaka kuwaonyesha watu mapaja na si mawazo. Umejuaje kuwa mawazo yamemzidi na si vinginevyo? Haya we watege mafisi ya ngono wataisha kwa miwaya nawe mbuzi utaendelea kula majani yako bila hofu. Maana mbuzi hawaugui ukimwi pamoja na kujifanyia bila mpango.

Mkuu, Ndio Raya ya Kuwa Mbuzi, Miwaya haituhusu, sisi ni kula Majani tuuu Meeeeeeeeeeeeeeeeh

Huyu Chini ni Jamaa Yangu Mweeeeeeeee

goat_tung.jpg
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom