Dada yako anakutamani!!!!

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Fikiria umezaliwa peke yako kwenye familia,baadae dingi anakuletea binti home anakuambia ni dada yako alimpata kabla hajakutana na mama yako,muda unapita,unamchukulia kama dada mara mitego inaanza,mwishowe anakuambia anakutaka kimapenzi usiku halali kwaajili yako,utamega au utatoka nduki????
 
hivi wewe topiki zako zikoje mara baba yako kampa mkeo ujauzito, mara mumeo bwabwa na hapa tena eti dada yako anakutaka mbona ueleweki na topiki zako za kufikiria vitu vya ajabu ajabu?? lete topiki za maana sio kufikiria vitu vya ajabu ajabu mwishowe utasema mama yako anakutaka
 
Baba yako ana uhakika kama ni mwanae kweli au kachomekewa tu. Damu moja haiwezi hata siku moja kutamaniana. Uchunguzi wa awali tafuta blood group ya mzee wako na huyo dada yako. Toa taarifa mapema kwa baba yako, yawezekana kwisha kuwa kimbulu huyo kwa malezi ya hovyo huko alikokulia!
 
hivi wewe topiki zako zikoje mara baba yako kampa mkeo ujauzito, mara mumeo bwabwa na hapa tena eti dada yako anakutaka mbona ueleweki na topiki zako za kufikiria vitu vya ajabu ajabu?? lete topiki za maana sio kufikiria vitu vya ajabu ajabu mwishowe utasema mama yako anakutaka
Ahahahahaaaaaah labda kwenye jamii aliyopo kashuhudia hayo mambo ndio maana analeta hapa yajadiliwe.
 
Hakuna haja ya kuhama nyumba...............kuna namna nyingi za kukwepa mitego kama hiyo.

Ukiendelea kukaa hapo ndo na wewe unaendela kukaribishia kwa it is Possible. kIMbia zinaa hata kwa physical presence. Ukirudi atakuwa amefunguka na kukuogopa:flypig:
 
Ahahahahaaaaaah labda kwenye jamii aliyopo kashuhudia hayo mambo ndio maana analeta hapa yajadiliwe.

Ni mambo ya hatari sana katika familia. Na Mungu hayapendi tangu enzi za akina Nuhu. dada ni dada tu Tema mate chini, usimchane!!!!!!!!
 
hivi wewe topiki zako zikoje mara baba yako kampa mkeo ujauzito, mara mumeo bwabwa na hapa tena eti dada yako anakutaka mbona ueleweki na topiki zako za kufikiria vitu vya ajabu ajabu?? lete topiki za maana sio kufikiria vitu vya ajabu ajabu mwishowe utasema mama yako anakutaka

FD Mie mwenyewe hoi bora umeanza wewe looohhh Halafu zinakuja mfululizo kama mvua sijui kaota haya mambo anayatenda? Mie simuelewi kabisa
 
Fikiria umezaliwa peke yako kwenye familia,baadae dingi anakuletea binti home anakuambia ni dada yako alimpata kabla hajakutana na mama yako,muda unapita,unamchukulia kama dada mara mitego inaanza,mwishowe anakuambia anakutaka kimapenzi usiku halali kwaajili yako,utamega au utatoka nduki????

Kama ni mimi naangalia Figure yake kwanza, kama analipa nakula tu mzigo. kwani tutazima taa tutakuwa GIZANI.
 
tamaa zilimponsa fisi! Kwani mzuri ni yeye tu. Tafuta mwingine. Labda kama umelaaniwa kabisa
 
Gosh mambo mengine hata kukoment unapata kigugumizi:tape::tape:
Nadhani wewe akili yako ni timamu kufanya maamuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom