Dada wa lodge kanifananisha mke wangu kapanic kichizi

Mi nimeshaacha siku hizi kwenda huko
Siwezi sema usiende maana uhitaji hutofautiana. Si unaona kama mleta mada hapa? Ilimlazimu kulala lodge kupunguza uchovu. Huwezi jua na wewe kesho itakuaje. So far siyo dhambi.
 
Ila mkeo brother katuangusha sana. Nature ya kazi zako huwa ni kusafiri mara kwa mara? Basi hapo lazima ajipe uhakika kwamba unamsaliti. Nikushauri tu, huwa napenda uwazi, muamshe muende mpaka lwa huyo dada. Pia huyo dada akanywe kwa usalama wa biashara na afya ya mahusiano na ndoa za wateja juu ya kuropoka ropoka.
 
Siwezi sema usiende maana uhitaji hutofautiana. Si unaona kama mleta mada hapa? Ilimlazimu kulala lodge kupunguza uchovu. Huwezi jua na wewe kesho itakuaje. So far siyo dhambi.
Yeah uhitaji unatofautiana ila siyo kwa kazi za ubaharia
 
Nipo na mke wangu na watoto natoka kwangu mkoa fulani x ni mwendo wa kilometa kama 1000 kufika kwa wazazi wetu Dar(you know likizo time now) Sasa kwa vile jana nilikesha(kumalizia viporo vya kazi yangu) alafu nimeamkia kuendesha gari kuelekea Dar sasa nimejikaza kisoja nikajua nitatoboa ila naona kuchoka jumlisha na usingizi nikaona nisije nikaua familia nzima kwa ajali bora niingiliwe tulale Morogoro then kesho tuingie Dar.Ile tunaingia receiption kuna kadada ka pale reception kakatupokea kwa tabasam na bashasha ile baada ya kusalimiana tu kakaniuliza za "SIKU NYINGI" mi bila kudigest nikajibu nzuri tu.Aloo baada ya kujibu ndo nikajiuliza kwa nini huyu dada kaniuliza hivi as if huwa nakujaga pale ama ananijua.
Kumbe hata mke wangu yupo kwenye tafakari ile ile na anajiuliza maswali yale yale.Hadi sasa hivi navyosema mke wangu kageukia upande wake na mimi upande wangu tumeshabishana na kufarakana vya kutosha yeye ananilazimisha kuwa mimi namjua Yule dada na kama vipi twende tukamuulize sasa mimi nimekataa huo ujinga kwa sababu linaweza ibuka tifu kubwa pale na safari yangu ikaharibika.
NIPENI MBINU ZA KIVITA NILIMALIZEJE HILI SWALA ILI MKE WANGU ANIAMINI.

Kama good morning ya Qnet lazima ujiulize sana inapo tumika mchana,usiku.inawezekana taaluma ya upokeaji ajafundishwa
 
Tulishaambiwa tuishi nao kwa akili.
 
Kwani kuna ubaya au ni dhambi kufahamiana na mhudumu wa lodge? Vitu vingine tunavifanya viwe vikubwa bila sababu za msingi
Wanawake ni wajinga sana, hata kama angekuwa ni x wako ni vibaya kuonana?
Anahofu gani wakati yeye ndiye mke halali na anakaba kila siku?
 
Nipo na mke wangu na watoto natoka kwangu mkoa fulani x ni mwendo wa kilometa kama 1000 kufika kwa wazazi wetu Dar(you know likizo time now) Sasa kwa vile jana nilikesha(kumalizia viporo vya kazi yangu) alafu nimeamkia kuendesha gari kuelekea Dar sasa nimejikaza kisoja nikajua nitatoboa ila naona kuchoka jumlisha na usingizi nikaona nisije nikaua familia nzima kwa ajali bora niingiliwe tulale Morogoro then kesho tuingie Dar.Ile tunaingia receiption kuna kadada ka pale reception kakatupokea kwa tabasam na bashasha ile baada ya kusalimiana tu kakaniuliza za "SIKU NYINGI" mi bila kudigest nikajibu nzuri tu.Aloo baada ya kujibu ndo nikajiuliza kwa nini huyu dada kaniuliza hivi as if huwa nakujaga pale ama ananijua.
Kumbe hata mke wangu yupo kwenye tafakari ile ile na anajiuliza maswali yale yale.Hadi sasa hivi navyosema mke wangu kageukia upande wake na mimi upande wangu tumeshabishana na kufarakana vya kutosha yeye ananilazimisha kuwa mimi namjua Yule dada na kama vipi twende tukamuulize sasa mimi nimekataa huo ujinga kwa sababu linaweza ibuka tifu kubwa pale na safari yangu ikaharibika.
NIPENI MBINU ZA KIVITA NILIMALIZEJE HILI SWALA ILI MKE WANGU ANIAMINI.
Kifo cha mende tu
 
Hata kama, lakini kumbuka kwamba kushindana na mwanamke ni kupoteza muda tu. Heri basi umpuuze tu
Acha dharau mwanaume,
Acha kudharau wanawake kiasi hicho.
Kama kushindana na mwanamke ni kupoteza muda basi na vitumbua vyetu mviache
 
Nipo na mke wangu na watoto natoka kwangu mkoa fulani x ni mwendo wa kilometa kama 1000 kufika kwa wazazi wetu Dar(you know likizo time now) Sasa kwa vile jana nilikesha(kumalizia viporo vya kazi yangu) alafu nimeamkia kuendesha gari kuelekea Dar sasa nimejikaza kisoja nikajua nitatoboa ila naona kuchoka jumlisha na usingizi nikaona nisije nikaua familia nzima kwa ajali bora niingiliwe tulale Morogoro then kesho tuingie Dar.Ile tunaingia receiption kuna kadada ka pale reception kakatupokea kwa tabasam na bashasha ile baada ya kusalimiana tu kakaniuliza za "SIKU NYINGI" mi bila kudigest nikajibu nzuri tu.Aloo baada ya kujibu ndo nikajiuliza kwa nini huyu dada kaniuliza hivi as if huwa nakujaga pale ama ananijua.
Kumbe hata mke wangu yupo kwenye tafakari ile ile na anajiuliza maswali yale yale.Hadi sasa hivi navyosema mke wangu kageukia upande wake na mimi upande wangu tumeshabishana na kufarakana vya kutosha yeye ananilazimisha kuwa mimi namjua Yule dada na kama vipi twende tukamuulize sasa mimi nimekataa huo ujinga kwa sababu linaweza ibuka tifu kubwa pale na safari yangu ikaharibika.
NIPENI MBINU ZA KIVITA NILIMALIZEJE HILI SWALA ILI MKE WANGU ANIAMINI.
Piga simu reception na akipokea mwambie yeye mwenyewe aje mumalize utata.
 
Sasa anaevikuza ni mke mi nimeona nividogo ila kashikilia bango kichizi ameenda mbali kuwa mi hapa huwa nawaleta malaya zangu.
Kuna usemi unasema "the guilty are always afraid" Kama mnaheshimiama na kuaminiana na mkeo, hata anikute sehemu fulani public nimekaa na mwanaume/mwanamke tunakula/kunywa, atajoin na maongezi yataendelea kama kawaida, na introduction kwa sana tuu!! Tena utakuta ikasaidia kuwaunganisha katika issue ambayo "the two" are participating or interested with! Imeishatokea mara nyingi tu! Lakini inategemea upeo!
 
Back
Top Bottom