Dada wa lodge kanifananisha mke wangu kapanic kichizi

Mkeo anakupenda, ndo maana ana wivu na wewe.
Mpende, mheshimu, mtunze familia yenu. Hawa wanaokushauri kuwa umpuuze au wanaokukejeli/kumkejeli achana nao. Kwanza kuchepuka ni ushamba tu. Hakuna sababu ya msingi ya kuchepuka kwenye jamii inayoruhusu talaka. Mueleze hivyo, kuwa yeye bado ni chaguo lako pekee. Msafiri salama.
Hata mimi naamini usemayo anaelekea ana hofu ya kunipoteza. Ukikaa na mtu ambae hastushwi na kuondoka kwako ujue alikuwa anakuona kama kero.
 
Mkeo anakupenda, ndo maana ana wivu na wewe.
Mpende, mheshimu, mtunze familia yenu. Hawa wanaokushauri kuwa umpuuze au wanaokukejeli/kumkejeli achana nao. Kwanza kuchepuka ni ushamba tu. Hakuna sababu ya msingi ya kuchepuka kwenye jamii inayoruhusu talaka. Mueleze hivyo, kuwa yeye bado ni chaguo lako pekee. Msafiri salama.
Amina
 
Yaani umeshindwa kumshawishi mkeo aamini huyo mwanamke hakufahamu??

Ulimtongoza mwenyewe kweli!
 
Nipo na mke wangu na watoto natoka kwangu mkoa fulani x ni mwendo wa kilometa kama 1000 kufika kwa wazazi wetu Dar(you know likizo time now) Sasa kwa vile jana nilikesha(kumalizia viporo vya kazi yangu) halafu nimeamkia kuendesha gari kuelekea Dar sasa nimejikaza kisoja nikajua nitatoboa ila naona kuchoka jumlisha na usingizi nikaona nisije nikaua familia nzima kwa ajali bora niingiliwe tulale Morogoro then kesho tuingie Dar.

Ile tunaingia receiption kuna kadada ka pale reception kakatupokea kwa tabasam na bashasha ile baada ya kusalimiana tu kakaniuliza za "SIKU NYINGI" mi bila kudigest nikajibu nzuri tu.Aloo baada ya kujibu ndo nikajiuliza kwanini huyu dada kaniuliza hivi as if huwa nakujaga pale ama ananijua.

Kumbe hata mke wangu yupo kwenye tafakari ile ile na anajiuliza maswali yale yale.Hadi sasa hivi navyosema mke wangu kageukia upande wake na mimi upande wangu tumeshabishana na kufarakana vya kutosha yeye ananilazimisha kuwa mimi namjua yule dada na kama vipi twende tukamuulize sasa mimi nimekataa huo ujinga kwa sababu linaweza ibuka tifu kubwa pale na safari yangu ikaharibika.

NIPENI MBINU ZA KIVITA NILIMALIZEJE HILI SUALA ILI MKE WANGU ANIAMINI.
Mkuu huyo mke wako naye ni mbumbumbu tu,sasa anakutuhumu kufahamika kwa mhudumu wa guest km 800 toka unakokaa?,ina maana hua unapaa kuja guest kuchepuka then unarudi kwako?,mwambie hiyo salam ni ukarimu tu wa muhudumu,asipoelewa acha kupoteza muda kwa mambo ambayo sio ya msingi
 
Nipo na mke wangu na watoto natoka kwangu mkoa fulani x ni mwendo wa kilometa kama 1000 kufika kwa wazazi wetu Dar(you know likizo time now) Sasa kwa vile jana nilikesha(kumalizia viporo vya kazi yangu) halafu nimeamkia kuendesha gari kuelekea Dar sasa nimejikaza kisoja nikajua nitatoboa ila naona kuchoka jumlisha na usingizi nikaona nisije nikaua familia nzima kwa ajali bora niingiliwe tulale Morogoro then kesho tuingie Dar.

Ile tunaingia receiption kuna kadada ka pale reception kakatupokea kwa tabasam na bashasha ile baada ya kusalimiana tu kakaniuliza za "SIKU NYINGI" mi bila kudigest nikajibu nzuri tu.Aloo baada ya kujibu ndo nikajiuliza kwanini huyu dada kaniuliza hivi as if huwa nakujaga pale ama ananijua.

Kumbe hata mke wangu yupo kwenye tafakari ile ile na anajiuliza maswali yale yale.Hadi sasa hivi navyosema mke wangu kageukia upande wake na mimi upande wangu tumeshabishana na kufarakana vya kutosha yeye ananilazimisha kuwa mimi namjua yule dada na kama vipi twende tukamuulize sasa mimi nimekataa huo ujinga kwa sababu linaweza ibuka tifu kubwa pale na safari yangu ikaharibika.

NIPENI MBINU ZA KIVITA NILIMALIZEJE HILI SUALA ILI MKE WANGU ANIAMINI.
Hapo naona safari yenyu imeshamwagiwa. Mafuta ya taa. Jitahidi umuelekeze wife kua hizo ni mbwe mbwe za wahudumu wa lodge. Hata hivyo ww sio fanyakazi ? Na hukosi safari za hapa na pale. Muanze maombi pamoja yatapita.
 
Kwani kuna ubaya au ni dhambi kufahamiana na mhudumu wa lodge? Vitu vingine tunavifanya viwe vikubwa bila sababu za msingi
Kama unataka kujua hili suala ni dogo au kubwa, nenda lodge na mke/mme/mpenzi wako halafu mhudumu wa lodge amuulize "shosti hujaonekana siku nyingi"
 
Back
Top Bottom