Dada wa kusambaza chakula kwa wenye maduka anahitajika haraka

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
328
631
kwa waliopo dodoma au jirani na dodoma, mfanyakazi wa kike anahitajika kwa ajili ya kusambaza chakula kwa wafanyabiashara wa sabasaba.

umri chini ya miaka 25 na at least awe na mwonekano mzuri. Muda wa kazi ni kuanzia saa sita mchana hadi saa kumi na mbili jioni.

chai ni bure, chakula cha mchana ni bure, chakula cha usiku ni bure, malazi ni bure (kama atakuwa anataka kulala maana nyumbani kwa bosi kuna nyumba kubwa).

mshahara wa kuanzia ni elfu tatu kwa siku ila utakua unapanda kadiri mauzo yatakavyoongezeka.

kama una ndugu yako au unamfahamu anayehitaji kazi hii niPM nikuunganishe na bosi. kazi imeanza tayari
 
Elfu 90 per mouth at least mngewafanyia ata laki kwa mwezi mkuu ingekua poa
 
elfu tatu kwa siku hebu acha masihara aisee........
Itakuwa ndio uwezo wake bosi,ila kwa huduma hio kwa mtoto wa kike itamtosheleza mahitaji yake tofauti na angekuwa mwanaume
 
Hujanitag Mimi akati Mimi ni wa dodoma sometimes., Mnapikia hapo saba saba au sehemu kama makole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom