Dada wa kufanya kazi mapokezi katika shule ya udereva, Tegeta Dar es Salaam

Manala An Academician

Senior Member
Oct 10, 2016
118
54
Sifa
1.Awe na elimu ya kidato cha nne au ngazi ya cheti.

2. Ushawishi mkubwa kwa wateja.

3. Uwezo mzuri wa kuongea na kuandika.

4. Uelewa wa matumizi ya baadhi ya program za computer.

5. Uzoefu katika masoko na mauzo utapewa kipaumbele.

6. Uwezo wa kuingia ofisin saa 12:30asubuhi na kutoka saa 12:00 jioni kwa siku za kawaida.

7. Aliye tayari kufanya kazi jumamosi na baadhi ya jumapili.

8. Aliye tayari kufanya kazi bila usimamizi wowote.

9. Mshahara utakuwa Kati ya 150,000 mpaka 200000 kutegemea na mauzo ya kampuni kabla ya nauli na chakula cha mchana.

NB: Aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0765374146 (whatsap na kawaida)
 
Tangazo la kipuuzi sijapata ona kwa mwaka huu.
Umtumikishe binti masaa 12 x 6 days kwa laki na nusu( elf 5 per day).
Hopeless
 
Aisee waajiri mmekuwa wanyonyaji Sana
Yaani Mtu afanye kazi kuanzia saa 12 asbh mpaka 12 jion
J3 Hadi jpli
Mshahara laki na nusu?
Hatari
Ndii Mana Mtu akipata nafasi ya kuiba anawaibia
Jali mtumishi wako
Mantiki yangu ni njema tu kuweka wazi ili mtu aamue kwa utashi wake, nahakika halazimishwi mtu wapendwa tujifunze kusoma na kupita bila matusi nayo ni hekima
 
Mkuu, hivi unatafuta mtu wa kwenda kufanya kazi ama kuteseka..!!
Kwahiyo hapa nawewe unajiona umetoa ajira...😕😕
Minaona umejidhalilisha tu mkuu, kheri hata usinge weka tangazo lako hapa.
Hata Kama ni shida, hii hapana aiseeee.....
Mimi nadhan sisi tumekeka kile tunachoweza kukifanya na mantiki ya kuandika taarifa muhimu ni kumpa nafasi anayeamua awe ameamua kwa uhuru wake, hakuna shinikizo hapa kiongozi
 
Tangazo la kipuuzi sijapata ona kwa mwaka huu.
Umtumikishe binti masaa 12 x 6 days kwa laki na nusu( elf 5 per day).
Hopeless
Tangazo limejitosheleza ila kama halina sifa kwako naamini wako wenye nia ya kufanya kazi, mwanzo mgumu lakini naamin performance ya mtumishi inaweza kuamua
 
Aisee waajiri mmekuwa wanyonyaji Sana
Yaani Mtu afanye kazi kuanzia saa 12 asbh mpaka 12 jion
J3 Hadi jpli
Mshahara laki na nusu?
Hatari
Ndii Mana Mtu akipata nafasi ya kuiba anawaibia
Jali mtumishi wako
Ziko mbinu nyingi za kumjali mtumishi siyo tu mshahara inawezekana kabsa ukaja na motivations kadhaa baada ya mteja kufikia target iliyokusudiwa. Pengine akawa na maslahi makubwa kuliko unachoona kama fixed cost
Tangazo la kipuuzi sijapata ona kwa mwaka huu.
Umtumikishe binti masaa 12 x 6 days kwa laki na nusu( elf 5 per day).
Hopeless
Tunalipa vizuri sana posho zingine kwa wiki tofuati na huo mshahara kikubwa kiasi kwamba ukijumlisha hapo unaona tupo kwenye level nzuri mno
 
Ziko mbinu nyingi za kumjali mtumishi siyo tu mshahara inawezekana kabsa ukaja na motivations kadhaa baada ya mteja kufikia target iliyokusudiwa. Pengine akawa na maslahi makubwa kuliko unachoona kama fixed cost

Tunalipa vizuri sana posho zingine kwa wiki tofuati na huo mshahara kikubwa kiasi kwamba ukijumlisha hapo unaona tupo kwenye level nzuri mno
Kumfanyisha Mtu kazi masaa 12 halafu siku Saba kwa wiki tayari NI kutomjali mtumishi
Unazijua vizuri Sheria za kazi za tz na za kimataifa
Unafahamu msaa ya kufanya kazi mtumishi
Unafikiri kwa Nini waliwska masaa ya kazi
Inaonyesha Happ HAKUNA kumjali mtumishi hata kidogo
 
Mtumishi hafanyi kazi siku zote saba kwa wiki Mkuu, tunaishia jumamosi nusu siku zaidi ya pale kama kuna kazi siku ya jumapili tunaomba mtumishi aliye na mda na hapa kunakuwa na allowance si kila siku.

Ndo maana nimesema aliyetayali kwa- baadhi ya siku za jumapili. Kuhusu masaa inategemea na nature ya kazi yetu. Na hii tunazingatia makubaliano ya mtumishi wala halazimishwi.
 
Huwa ninapata hayo masaa lakini ni siku tatu tu kwa wiki.
Bora wewe,,

Ratiba ya huyu boss umeielewa?

Kazi kuanzia jtatu - jpil

Masaa ya kazi 12:30Asb - 12 : 00 jioni
Tuseme unapanda daladala utadamka SAA 11:00 Asb itategemea na umbali, wakati wa kurudi upande daladala 12:45 mpaka unaingia hom ni SAA 1:50 Hivi.

Hayo ndo maisha ya hiyo ajira ya 150000/= . unajikuta unaishi km popo ibada huijui ukisikia unamgeni unataman umkatae coz ndan kuchafu mda huna.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom