Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
Hahahaha Mentor kwani ingebadili maana ya kitendo kama angetumia tafsida?
we najua ushazoea kuuza utumbo nzi hawakupi shida...ial najaribu kuvaa viatu vya huyu jamaa afu demu tu mliyefahamiana na kuzoeana within hours aje tu point blank from no where akuambie!!!mh..mi mwenyewe ningekimbia..
unajua tushazoea chombeza kwanza..sitaki nataka kidogo....twende tukaangalie muvi geto..et al...then...
hahaha...