Dada wa Kikenya alipotaka ku..Aliniambia huku ananiangalia machoni!!. . . .

enyi kizazi cha nyoka tena kilichopotoka uzungu utatufanya tutembee uchi, nani ka kwambia kuwa ng'ombe anajipeleka mwenyewe machingioni, hekima ya binadamu wa siku ya leo wanaojiita tunaenda na wakati hata kuku hayuko hivyo. wakenya wameshachanganyikiwa na wengi waliochanganyikiwa wanadai eti tunaenda na wakati, wakati gani huo?
 
Jamani Mwananmke yeyote anitafute haraka, ntakupa raha ambayo hujawahi kupata, bao 5-7, I am serious

we punda angalia wanawake wajanja wa kisasa wakiona bandiko lako hili watakucheka!wenzako siku hizi hatujisifii kinachotokea upande wetu!tunajivunia kinachotokea upande wao!eti bao 5-7,na mwenzio je?twende pm nikakupe darasa mkuu hapa unatuaibisha wenzako!
 
kwa kweli huyo mkenya labda alikuwa ana hamu sana akashindwa kujizuia,lakini du,ana moyo!
 
Mzee uliogopa lugha ya direct nini? Nadhani hata wanaume wakiomba hawasemi twende nikakunanihii!
 
kwani mdada kukuomba ni tatizo? mi nadhani tatizo ni hakutumia tafsida..aliisema as it is..
mbona nyie wanaume mnatuomba? kwa kuwa imezoeleka hivyo, huwa haishtui sana
sie tukiwa na shida na iyo kitu mnaona isue sio mbona sisi sometimes tunawapa mkituomba... hukumfanyia fair kwa kweli ... kuna njia acceptable (au niseme zilizozoeleka na jamii ya Watanzania) za mwanamke kuomba akihitaji
ndo maana mimi huwa simpi mtu...kitaliwa na nyenyere!!!
sipewi na mimi sitoi

Dada Smile, kizuri kula na nduguyo.... -Wahenga.
 
Last edited by a moderator:
..Dah..mkuu zali la mentali hiloo...yaani hapo mimi nadondosha mzigo kama kawa...kwann hizo bahati haziji kwangu?

bora tumeachana....khaaa....kumbe wala mizoga wewe kama crocuta crocuta eeeh....nilikudhani ni duma....windo wawinda mwenyewe....
 
kwani mdada kukuomba ni tatizo?
mbona nyie wanaume mnatuomba?
sie tukiwa na shida na iyo kitu mnaona isue sio mbona sisi sometimes tunawapa mkituomba... hukumfanyia fair kwa kweli ...
ndo maana mimi huwa simpi mtu...
sipewi na mimi sitoi

unatatizo la mvuto...
 
mhm.......! kweli?? hutoagi?
 
Tatizo lipo jinsi alivo present ombi lake, dada zetu wa kibongo waki-evolve hadi hatua hiyo, muda wangu mwingi watauokoa!
 
Sema haujiamini uncle....

Madame X,

usiwe judgemental sana. Kuna issue za makuzi hapa huwa zinachangia. mtoto wa kiume aliyekulia sunday school kwa sana anaweza kuwa normal kabisa lakini situation kama hiyo ikamchanganya. si lazima ziwe issue za self esteem. labda kama una maana kuwa dini zinaharibu self esteem.
 
Sijui ni kwa kuwa sipo kwenye mahusiano muda mrefu!Yaani na umri hu wa miaka 3.... kidogo nionekane katoto. . .Lol! Jamani wadada wamebadilika unapokutana nae jiandae kwa lolote!!!!Dada huyu anaondoka leo mchana na Akamba!!

Dogo umekosa bahati ya kufanyia mazoezi ya tiGo dahh Mungu akupe nini sasa?
Yaani ungekubali alafu unamwambia wewe chakula chako kikuu ni tope tu baaaaaaaasi.
 
kwani mdada kukuomba ni tatizo? mi nadhani tatizo ni hakutumia tafsida..aliisema as it is..
mbona nyie wanaume mnatuomba? kwa kuwa imezoeleka hivyo, huwa haishtui sana
sie tukiwa na shida na iyo kitu mnaona isue sio mbona sisi sometimes tunawapa mkituomba... hukumfanyia fair kwa kweli ... kuna njia acceptable (au niseme zilizozoeleka na jamii ya Watanzania) za mwanamke kuomba akihitaji
ndo maana mimi huwa simpi mtu...kitaliwa na nyenyere!!!
sipewi na mimi sitoi

Dada Smile, kizuri kula na nduguyo.... -Wahenga.

Hahahaha Mentor kwani ingebadili maana ya kitendo kama angetumia tafsida?
 
Back
Top Bottom