Dada wa kazi anapatikana Dar, mshahara maelewano

FLAVOR

Senior Member
Jun 13, 2012
138
49
Kuna binti aliwahi kufanya kazi kwangu, ni mwenyeji wa mbeya ana 26, alirudi baada ya kuuguliwa. Sasa mgonjwa amepona na yuko Dar es salaam anatafuta kazi. Amerudi sasa,tayari mama watoto alishatafuta binti mwingine wa kazi hivyo si rahisi kuwa na wawili. Si unajua maisha ni budget.

Ni mchapa kazi na anakaa vizuri wa watoto, kama utahitaji ama kuna mtu anatafuta msaidizi wa kazi za ndani nicheki 0743753561.

Referee ni familia yangu na serikali za mtaa
 
Wewe waishi wapi hapa Dar?
Na ulikua ukimlipa kiasi gani kwa mwezi?
 
Jibu la mshahara, tujue, maana nami ninauhitaji wa msaidizi kazi za nyumbani
 
Mkuu alikuwa anaumwa nn mpaka akaondoka?? Maana wengine tuna vijana nyumbani na akili za vijana zinachezaga kwa full beki
 
iyo namba iloekwa apo kila muda inatumika,asa cjui taongea nae vp? maana kuna mtu anataka mfanyakazi wa ndani...
 
Back
Top Bottom