Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Habari za weekend!

Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili. Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba ni mvivu la hasha. Anafanya mambo yote kama mke. Lakini kuna jambo moja linanishangaza, hivi karibuni tumepata msichana wa kazi hana muda mrefu ni kama miezi miwili lakini tangu am
Kawaida kwa Fisi akitaka kumla mtoto wake mwenyewe, huanza kumfanaisha na mtoto wa kondoo!
 
Wanaume bhana yan huwa tunatekwa na mambo madogo madogo tu. Najua Hapo umeanza kuvutiwa nae
 
Sasa nimjue jina la nini wakati mke yupo..?? Kubwa huwa natoa muongozo aongezewe mshahara kila baada ya miezi sita.
Na hakuna sehem mimi na msaidizi tunaweza tuka mingle
Naomba kazi ndugu

Wengine wanafanya kazi zaidi ya miaka 3 mshahara ni 50 na hawaongezewi

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kila dalili house girl kusomwa kitabu. Ikiwa ww ni mwanaume halisi never ever kula hg. Ameajiriwa kwa kazi hiyo mpe ujira wake kwa kuyafahamu majukumu yake sio kumfanyia comparison na mkeo.
Ni ka ajabu haka kaleta mada
 
Habari za weekend!

Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili. Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba ni mvivu la hasha. Anafanya mambo yote kama mke. Lakini kuna jambo moja linanishangaza, hivi karibuni tumepata msichana wa kazi hana muda mrefu ni kama miezi miwili lakini tangu
Ulimwajiri kwa shughuli gani kama sio hiyo? Hapo unaona hata thamani ya pesa unayomlipa.
 
Back
Top Bottom