Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,813
- 3,767
- Thread starter
- #81
Namshangaaa afu anakuja kujitapa kwenye jukwaa kwani ukiwa na miaka 28 ndo uwe kama jalala,na suala la miaka linakuhusu nini maana hapa mjini kila mtu anamipango yake.
Punguza povu mama , nisamehe nimetaja Umri wako jamani