Dada uko single.. na umri unayoyoma.....tulizana

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,792
3,848
fashion3.jpg

Hehehe nimeitoa huko kwenye blog ya wake za wazungu......lakini kweli huku kwetu uswazi kweli ni kawaida kuwa na mume with 10+ age gap. Wengi wao wanakuwa machumaji.....
 
Wanafuata mkwanja wao tu, ila hao BF zao wana Ving'asti vyao vingine vya ukweli vya kula nao bhathaa..........!:suspicious:
 
Nyakati mbaya hizi
Kumbuka kauli ya Mbunge Kange Lugora
Jimbo la Mwibara,aliwahi sema Bungeni
kuwa pale hakuna mapenzi kuna kufuta

"Asali na Maziwa"
Usiniulize ni nini hicho !!!!
 
Sasa wewe unachukua issue(Picha) ya Madame X halafu unaigeuza kichwa cha habari, dah wabongo kwa kuchakachua hatujambo, hata mchina ametushindwa ...........!
 
Sasa wewe unachukua issue(Picha) ya Madame X halafu unaigeuza kichwa cha habari, dah wabongo kwa kuchakachua hatujambo, hata mchina ametushindwa ...........!
Mkuu sijui kama madame aliwahi ku post hii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
fashion3.jpg

Hehehe nimeitoa huko kwenye blog ya wake za wazungu......lakini kweli huku kwetu uswazi kweli ni kawaida kuwa na mume with 10+ age gap. Wengi wao wanakuwa machumaji.....

Dedikesheni kwa MadameX na Smile
 
Last edited by a moderator:
ulaya tofauti na bongo wewe huyo jlo mwenye 42 umemuona anavyolipa?

wadada stukeni ,msijengoja sanaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom