Dada Nyota Waziri, acha kuwaharibu dada zetu!

Rogie

Rogie

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
7,249
Likes
4,648
Points
280
Rogie

Rogie

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
7,249 4,648 280
Huyo dada Nyota Waziri ndiyo nani mkuu,poleni..
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,041
Likes
3,918
Points
280
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,041 3,918 280
Huyo dada Nyota Waziri ndiyo nani mkuu,poleni..
Muimbaji wa kundi la wananjenje, aliye imba wimbo wa TULIZANA MPENZI TUPENDANE.

Picha yake hii hapaNa hii hapa akiwa na huyo mwanamke wake anaye mpa jeuri ya kurubuni dada zetu.

Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
11,235
Likes
9,855
Points
280
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
11,235 9,855 280
huyo si huwa kungwi sijui somo?sasa huwa anafunda nini wakati na yeye ni gay.
 
B

Brahnman

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
1,716
Likes
853
Points
280
Age
37
B

Brahnman

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
1,716 853 280
Ushauri: nenda kamlipoti Polisi haraka sana na kama huyo ndugu yako atakuwa tayari kutoa ushaid itakuwa vyema zaidi. Tabia kama hiz si za kulalamika na kufumbia macho bali sheria ichukue mkondo wake!
 
L

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Messages
717
Likes
79
Points
45
L

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined May 15, 2013
717 79 45
Huenda yule mme wake ambae yuko nae bendi moja hamridhishi kunako 6*6 ndomana ameona bora raha ajipe mwenyewe
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
6,041
Likes
3,918
Points
280
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
6,041 3,918 280
Ushauri: nenda kamlipoti Polisi haraka sana na kama huyo ndugu yako atakuwa tayari kutoa ushaid itakuwa vyema zaidi. Tabia kama hiz si za kulalamika na kufumbia macho bali sheria ichukue mkondo wake!
Polisi hatuwezi kwenda kwa sababu sheria haituruhusu kufanya hivyo. Ili tuweze kumshitaki ni lazima kwanza huyu binti akiri kuwa mwanamke huwa anamsaga bila ridhaa yake, hapo ndo tunaweza kumpeleka polisi na atashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha kijinsia huyo binti ( Under SECTION 138A of The Penal Code ) na sio kwa kosa la kusagana kwani sheria ya makosa ya Jinai ya Tanzania bara imekaa kimya kuhusu usagaji.. Tatizo linalo kuja hapa ni kwamba huyu binti hatupi ushirikiano coz amekuwa hypnotized na Nyota, so hata tukimpeleka polisi hawezi kkubali, atakataa, sijui amempa kitu gani
 
wamekwisha achana toka enzi za pontio wa pilato
 
Domhome

Domhome

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Messages
2,209
Likes
1,409
Points
280
Domhome

Domhome

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2010
2,209 1,409 280
huyo si huwa kungwi sijui somo?sasa huwa anafunda nini wakati na yeye ni gay.
Lesbian..../a woman who is sexually attracted to other women.
Gay...../somebody, especially a man, who is attracted to other members of the same sex.
 
M

MDOTE

Member
Joined
Nov 20, 2012
Messages
65
Likes
2
Points
0
M

MDOTE

Member
Joined Nov 20, 2012
65 2 0
Hilo jimama ni baya sana haliridhiki na Wanaume maana anaenda kotekote ndio maana Mumewe kamuacha, Nashauri andaeni mtego wa muda mrefu huyo binti yenu mumfuatilie nyendo zake, ipo siku mtamkamata tu.
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
8,667
Likes
5,713
Points
280
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
8,667 5,713 280
Ushauri: nenda kamlipoti Polisi haraka sana na kama huyo ndugu yako atakuwa tayari kutoa ushaid itakuwa vyema zaidi. Tabia kama hiz si za kulalamika na kufumbia macho bali sheria ichukue mkondo wake!
Polisi hatuwezi kwenda kwa sababu sheria haituruhusu kufanya hivyo. Ili tuweze kumshitaki ni lazima kwanza huyu binti akiri kuwa mwanamke huwa anamsaga bila ridhaa yake, hapo ndo tunaweza kumpeleka polisi na atashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha kijinsia huyo binti ( Under SECTION 138A of The Penal Code ) na sio kwa kosa la kusagana kwani sheria ya makosa ya Jinai ya Tanzania bara imekaa kimya kuhusu usagaji.. Tatizo linalo kuja hapa ni kwamba huyu binti hatupi ushirikiano coz amekuwa hypnotized na Nyota, so hata tukimpeleka polisi hawezi kkubali, atakataa, sijui amempa kitu gani
Achana na ushauri wa hawa manamba ambao hawajui hata kuandika kiswahili sahihi, eti kalipoti (karipoti)! Matatizo ya ki-mzuka hushughulikiwa kwa namna ya mzuka! Akili kichwani, sitamwaga mchele.....
 
Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
10,218
Likes
115
Points
160
Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
10,218 115 160
Anaonekana innocent kweli. Au mnamsingizia? Natania. Ila nasikia kwenye kile kikosi cha njenje, hakuna mwema pale. Wasije wakamharibu binamu.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,026
Likes
18,242
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,026 18,242 280
Ninafahamu kwamba unajihusisha kimapenzi na wanawake wenzako. Sina tatizo kuhusu hilo kwa sababu hayo ni maisha yako na starehe yako mwenyewe. but hili kuwarubuni dada zetu wadogo ambao bado ni watoto wa shule na kuwaingiza kwenye usagaji sikubaliani nalo hata kidogo....Unatumia vihela vyako kidogo ambavyo vingine unahongwa na yule mwanamke wako wa Ilala kuwarubuni wadogo zetu wa kike! Hapana hii haikubaliki hata kidogo! Inaniuma sana kwa sababu mmoja kati ya mabinti unao waharibu ni mtoto wa dada yangu and she is under 18 years old! Umemfanya amekuwa mtu wa ajabu ajabu! Hivi wewe ungesikiaje kama binti yako ambaye yupo under 18 tena mwanafunzi angefanyiwa hivyo? Hivi nia yako ni nini haswa? Unataka kuwaambukiza magonjwa au? Tume piga huyo mpwa wetu hadi tumechoka, yote kwa sababu yako...Tafadhali,watu wa habari hebu mfuatilieni huyu mwanamke asiendelee kuwaharibu binti zetu..

Serikali inapaswa kuanza kuwachukulia hatua wanawake watu wazima wanao warubuni mabnti wadogo/wanafunzi kuingia kwenye usagaji. Sheria ya SOSPA 1998 inapaswa kufanyiwa marekebisho, haraka iwezekianavyo
Mfungulieni kesi mshtakini mahakamani. Habari za kulalamika JF hazitoshi.
 
Forum statistics

Threads 1,273,323
Members 490,351
Posts 30,478,040