Dada: Mwanaume Hatulii Bali Anatulizwa

Meshacky Allyson

Senior Member
Oct 29, 2020
126
250
Habari wana Jf , natumai mu wazima wa afya , natamani kushare hii kitu na dada zetu , Ni hivi dada always kaa ukijua , mwanaume hawezi kutulia mpaka umtulize , mindset ya boys ni kwamba ni watu wa matokeo zaid , yaan haamini mpaka aone jambo flani unalomwaminisha limetokea , Hawaoi kwa sababu ya uzuri , wanaoa kwa sababu una sifa. Jitahid ujifunze na uwe na maarifa ya kutoshaa , juu ya wanaume , kuwa vizuri kitandani tu haitoshii.
Nawasilisha uzi
FB_IMG_16211050472201185.jpg

View attachment 1792657
 
Nawasilisha uzi View attachment 1792648
View attachment 1792657
Huyo kwenye picha ni nani.?
 
Neno hili🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom