Dada Mishaly Sumary anaomba msaada kwa yeyote atakayeguswa na ugonjwa wake

Tuishi vizuri duniani hivi kwanini Dikteta ******** asifanyiwe hivi?
 
Haò watù waliomfanya hivi walikuwa na nia ya kumpoteza kabisa tena inaonekana walikuwa wanajua wanaeenda kumfanyia

Pole sana mdada tena mzuri tu
 
Pole sana ....
tunaomba Mungu ufanikiwe.
Lakini najiuliza hivi walikupiga bila sababu yoyote au huko kazini kwako umewahi fanya figisu na wagonjwa??
Maana.... ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm siaminigi story kama hizi, zinakua utapeli mtupu, kuna tofauti gani na zile sms tuma hiyo pesa kwenye namba hii,
Na pia mfano kuna yule jamaa anajiita kijana sijui nani, aliomba msaada hapa wa vitu vya ndani vya kuanzia maisha eti katoka kijijini ndio kaanza kazi, baada ya mda akatoa mada nyingine akaanza kujibu watu nyodo! nakutukana watu!
Haya mambo yanafanya mtu akiwa na hitaji kweli asisaidiwe

Ndugu yangu Tunzo ninakuheshimu sana, nakuomba upige hiyo namba ya huyo dada, uende mpaka mahali anapoishi, ukithibitisha ni Utapeli basi njoo na ushahidi ila usiishie kusema hupendi story kama hiz. Nafahamu kuwa unaishi Dar Es Salaam na pia nafahamu shughuli zako, miezi kadhaa iliyopita tuliwasiliana ingawa sikutaja username yangu hap JF. Nenda kamtembelee huyo dada ndipo uje useme kuwa ni Utapeli au lah
 
Ndugu yangu Tunzo ninakuheshimu sana, nakuomba upige hiyo namba ya huyo dada, uende mpaka mahali anapoishi, ukithibitisha ni Utapeli basi njoo na ushahidi ila usiishie kusema hupendi story kama hiz. Nafahamu kuwa unaishi Dar Es Salaam na pia nafahamu shughuli zako, miezi kadhaa iliyopita tuliwasiliana ingawa sikutaja username yangu hap JF. Nenda kamtembelee huyo dada ndipo uje useme kuwa ni Utapeli au lah
Mkuu soma vizuri na usome na mfano niliotoe, Na hayo yalikua maoni yangu na hakuna sehemu niliyokuvunjia heshima hapo, ukisema naniheshimu means umeanza kupanic, na sijasema huyo dada ni tapeli, nimesema wakati mwingine haya mambo yanakuaga ni utaleli na natoa mfano, pia asante kwa kufahamu shuguli zangu, karibu nikuhudumie.
 
Seriously kabisa kuanzia paragraph ya kwanza hadi ya mwisho nimekuta zimenifanya nitokwe na machozi ya uchungu. Pole yake sana huyo Dada kwa yaliyompata ila kwakuwa Mwenyezi Mungu hajawahi kuacha kuyajibu maombi yangu thabiti Kwake namuomba kwanza amjaze rehema huyu Dada yetu, amponye. amuwezeshe apate msaada wa haraka na arudi katika hali yake ya kawaida ila kwa hao waliomfanyia hayo matendo mabaya namwomba Mwenyezi Mungu awashushie adhabu stahili Kwao ambayo itawafanya wajutie na wateseke si tu wakiwa hai hivi bali hata wakifa na wakiwa Makaburini / Mavumbini bado mateso makali yazidi kuwaandama.

Swaiba kwema lakini! Umeadimika sana sikuhizi..
 
Back
Top Bottom