Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,117
- 49,474
Hapa hajaomba msaada kwa JfMm siaminigi story kama hizi, zinakua utapeli mtupu, kuna tofauti gani na zile sms tuma hiyo pesa kwenye namba hii,
Na pia mfano kuna yule jamaa anajiita kijana sijui nani, aliomba msaada hapa wa vitu vya ndani vya kuanzia maisha eti katoka kijijini ndio kaanza kazi, baada ya mda akatoa mada nyingine akaanza kujibu watu nyodo! nakutukana watu!
Haya mambo yanafanya mtu akiwa na hitaji kweli asisaidiwe
Ameomba kukutana na taasisi zinazosaidia watu kwa namna moja au nyingine
Zikipatikana zitakwenda kwa mgonjwa watajiridhisha na kutoa msaada wao