Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu tena!!!wakati wa harusi mnawaambia karibu kwenye familia yetu...ooh tumeongeza mtoto mwingine wa kiume au sijui wa kike na kujitia mnawapenda ....
baadaye oooh anaingilia mambo ya familia..?
ukiona hivyo hayo mambo yanauhusisha mali ndio maana mnajitia eti si mwanafamilia!
kweli binadamu ni kiumbe mzito, habebeki hata kwa winchi.
haa haa thread ilikuwa kule habari na hoja, imemuvuzishiwa tu hukuKaribu tena!!!
inaonekana Dada anashauriana na make wake mambo ya familia halaf anakuja kutoa ushaur ambao kimsingi unaonekana umetokea kwa Mme wake.ivi wadau jambo hill nyie mnalionaje??